Kurejea madarakani kwa Taliban nchini Afghanistan, kumezilazimu nchi za Magharibi kuondoa haraka raia wao na Waafghan walio katika hatari ku...
TALIBAN WASHEREHEKEA KUONDOKA KWA MAREKANI
Wanamgambo wa Taliban wamesherekea baada ya Marekani kuondoa vikosi vyake nchini Afghanistan, hatua hiyo imejiri baada ya majuma kadhaa ku...
JERRY SLAA AFUNGIWA KUINGIA BUNGENI
Kamati ya maadili ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, imetoa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili ya Bunge kwa Jerry Slaa Mbunge...
WAHANDISI 17 WACHUKULIWA HATUA
Wahandisi 17 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na taratibu za taaluma yao kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020...
MAHAKAMA KUTOA UAMUZI PINGAMIZI LA MBOWE NA WENZAKE
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kesho Jumatano Septemba 1, 2021 itaamua pingamizi la Mbowe na wenzake kama ma...
WATUMISHI ZAIDI YA 4000 WAREJESHWA KAZINI
Serikali imesema imewarejesha kwenye orodha ya malipo watumishi 4380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa...
TANZANIA YAPATA SOKO LA UYOGA UHOLANZI
Kampuni maarufu ya Uholanzi, LIMAX B.V. (LimaxGroup) imedhamiria kuwekeza kwenye Sekta ya Uyoga nchini Tanzania kwa kujenga kiwanda cha kusi...
ASKOFU GWAJIMA ASIMAMISHWA KUSHIRIKI VIKAO VYA BUNGE
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imesema Askofu Josephat Gwajima hatakiwi kuhudhuria mikutano ya Bunge miwili au isiyopungua m...
RAIS WA MAREKANI KULIHUTUBIA TAIFA
Rais wa Marekani Joe Biden leo Agosti 31 anatarajia kulihutubia Taifa baada ya siku 17 za ukoaji wa raia wa Marekani pamoja na wanajeshi wak...
TAARIFA YA GWAJIMA NA SLAA BUNGENI
Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa (kushoto) na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima (kulia) Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea...
MWANA FA AELEZA KILICHOTOKEA AJALI ALIYOPATA
Mbunge wa jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amepata ajali ya gari eneo la Mkambalani mkoani Morogoro jana Agosti 31, 2021 u...
MAMA, DADA WA HAMZA WAACHIWA, WATANO BADO
Wakati mama na dada wa marehemu Hamza Mohammed wakiachiliwa baada ya mahojiano, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Mu...
MUONEKANO WA SHILOLE WAZUA GUMZO
Mume wa msanii Shilole, Rommy 3D ameonyesha kutofurahishwa na wanaoponda muonekano wa unene wa mke wake huyo, na kuvunja ukimya kwa wote wan...
MWANAMUZIKI WA UINGEREZA MARCUS BIRKS AFARIKI KWA CORONA
Msanii wa muziki nchini Uingereza Marcus Birks(40) amefariki dunia akiwa hospitali anatibiwa Corona. Birks alikua ni katika watu waliokataa ...
MTAMBO WA KUKAUSHA MBAO WAZINDULIWA
Mtambo wa kwanza wa kisasa wa kukausha nguzo za umeme katika nchi za Afrika Mashariki na Kati umezinduliwa na Waziri wa Nishati, Dkt. Meda...
RAIS WA ZAMBIA HICHILEMA AWAFUTA KAZI WAKUU WA JESHI NA POLISI
Rais mpya wa Zambia Hakainde Hichilema Jumapili ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi huku akiahidi kumaliza utaw...
UBALOZI WA DENMARK KUFUNGA SHUGHULI ZAKE NCHINI TANZANIA, MULA MULA AFUNGUKA (+VIDEO)
Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa na hatua ya Serikali ya Denmark kuamua kufunga shughuli za Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo m...
KALEMANI APIGA MARUFUKU WANANCHI KULIPISHWA NGUZO ZA UMEME
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amepiga marufuku Shirika la Umeme (Tanesco) kuuza nguzo za umeme kwa wananchi akisema tayari Serikal...
‘I WAS THROWN IN JAIL AND A MENTAL INSTITUTION, THEN DEPORTED FROM SINGAPORE… FOR NOT WEARING A COVID-19 MASK’
Don’t like wearing masks? Neither does Benjamin Glynn. But his refusal to wear one, on account of his failure to accept Singapore’s right to...
SEVERAL ROCKETS TARGET KABUL AIRPORT, US MILITARY ACTIVITE MISSILE DEFENSE TO REPEL ATTACK - REPORTS
Five rockets have reportedly been launched towards the Kabul airport, serving as the focal point of the US evacuation from Afghanistan. The ...
HAMZA AZIKWA USIKU DAR
Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa jana Jumapili Agosti 29...
SAMIA: KAMA KESI HAINA MUELEKEO WAHUSIKA WATOLEWE
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kukaa na wadau kuangalia uwezekano wa kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu...
MKURUGENZI TUME YA TEHAMA AZINDUA TUZO
Mkurugenzi Tume ya Tehama, Samson Mwela, leo Agosti 25, 2021 amezindua Tuzo za TEHAMA Nchini ambapo tuzo hizo washiriki watapendekezwa na ...
NABI AOMBA MUDA WA KUANDAA KIKOSI CHAKE
Kocha mkuu wa Young Africans, Nassredine Mohamed Nabi ametua nchini jana Jumanne (Agosti 24) na kutamka kwamba bado hajapata muunganiko kati...
MTIBWA SUGAR, KAGERA SUGAR ZAMUWANIA IBRAHIM AME
Beki wa kati Ibrahim Ame amefunguka, baada ya uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC kumpa ruhusa ya kutafuta changamoto mpya kw...
KAPOMBE, NYONI WAPATA MSAMAHA KAMBINI
Kocha wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) Kim Poulsen amewasamehe na kukubali kuwapokea wachezaji wa Simba SC Shomar Kapombe na Erasto Nyoni. Jan...
KIHAMIA AJIUZULU UJUMBE YOUNG AFRICANS
Katika hali ya Mshtuko Mjumbe wa kamati ya utendaji wa Young Africans Athuman Kihamia ametangaza kujiuzulu nafasi yake ndani ya klabu hiyo...
RAIS KENYATTA AMTAKA MAKAMU WAKE AJIUZULU UONGOZI
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini Kenya, Rais Kenyatta amesema anashangazwa na mwenendo wa naibu wake ambaye anapinga ...