} });
 


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga amefariki dunia Jumatatu Agosti 2,2021 wakati akiendelea kupata matibabu Jijini Dar es salaam.
 
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha taarifa hizi akisema "Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM wilaya ya Kahama, Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es salaam".

Endelea kutembelea blog yetu kwa taarifa zaidi

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top