} });
 


Aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara ametangaza rasmi kujiunga na Yanga jioni hii Jijini Dar es salaam, ametangaza kuhamia na Familia yake nzima.

Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba” Manara.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top