} });
 

 

Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF imetoa orodha ya mwisho ya wagombea nafasi za Urais na Wajumbe Kamati ya Utendaji.

Kamati imetoa orodha hiyo baada ya kufuata ratiba ya matukio ya uchaguzi mkuu wa TFF ambao umeoangwa kufanyika Agosti 07, mkoani Tanga.

Hata hivyo Wallece Karia ameendelea kuwa mgombea pekee kwenye nafasi ya Urais wa TFF huku nafasi za ujumbe wa kamati ya utendaji, zikiwaniwa na wagombea zaidi ya mmoja kwa kila kanda.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top