} });
 

 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Vijana wenye Umri chini ya Miaka 23 (CECAFA Challenge Cup 2021) viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

“Ndugu zangu Sekta hii ya michezo  ni kubwa inaendelea kukua kwa kasi  ulimwenguni kote kwa mujibu wa jarida la Forbes sekta hii inakadiliwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani trilioni 1.3 lakini inatoa ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja”- Rais Samia

“Michezo pia inatangaza nchi najua wapo watu wengi duniani walifahamu nchini yetu kwenye miaka ya 70 kupitia watu wetu maarufu kama wakina Filbert Bayi- Rais Samia

“Hii ni safari ya kwenda kuchukua makombe makubwa mbele ya Safari, nawapongeza sana vijana wetu kwa kutuletea kombe hili imani yangu ushindi wenu utazihamasisha timu zetu zingine kufanya vizuri kimataifa”- Rais Samia

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top