} });
 


Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ushindi la Michuano ya Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Vijana wenye Umri chini ya Miaka 23 (CECAFA Challenge Cup 2021) viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

“Suala la chanjo ya Covid-19 ni muhimu, na wanamichezo kama hamjachanjwa naomba mkafanye, kwa kuwa mnasafiri sana, mimi Mama yenu, mkuu wenu, sitapeleka jamii yangu kwenye hatari, huwezi kushindana na mwanadamu mwenye kinywa, lakini ukweli ni kwamba chanjo hizi zinasaidia – Rais Samia

“Nimefurahia kupokea Kombe hili la CECAFA (U23) tunaamini kwamba kila safari huanza na hatua moja naamini ni safari ya kwenda kuchukua makombe mengine makubwa mbele ya safari ikiwa tu vijana hawa tutawatunza lakini ikiwa tutawaacha waende nyumbani Tukiwahitaji waje, hatutofika”-Rais Samia 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top