
Wafanyakazi
watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) wamefariki dunia kwa ajali ya gari
aina ya land cruiser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso.
Ajali
hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika eneo la Hanseketwa
wilayani Mbozi, Songwe.
Polisi imethibitisha

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment