} });
 

 

NI Agosti 20, 2021 ambapo waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na Waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi pamoja na Tozo.

“Bilioni 48 na kwaajili ya maeneo ambayo hajawahi kuwa na vituo vya Afya na maeneo ambayo hayajawahi kuwa na Madarasa lakini kwenye Sheria hii tulivyoitunga ilikuwa ni Sheria inatumika pande  zote mbili kwahiyo kule Zanzibar ndani ya wiki hizo nne wameweza kukusanyika Bilioni 1.66 ambayo hiyo kwenye shughuli hizo zinazofanana na ya kwetu katika upande wa Muungano”- Nchemba

“Watu wachukue hivyo hivyo hii nchi ni yetu na Pesa iliyokusanywa ni yako na hivi vituo 150 vya Afya vinaokoa  maisha ya watu wako hivyo ndivyo ilivyo na Madarasa hayo zaidi ya 500 na Watoto ni wako na utaratibu tuendeshe vipi ni wetu sisi sote”- Nchemba

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top