VIDEO: KAMANDA KINGAI AWANASA WALIOIBA KWA MWANAJESHI
Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, linawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za kuvunja na kuiba vitu mbalimbali kwenye nyumba ya Ask...
MAAGIZO YA NAIBU WAZIRI ULEGA “UFUGAJI WA VIZIMBA UFANYIKE MAENEO MAALUM”
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imejipanga kufany...
ADAIWA KUMUUA MKEWE AKIMTUHUMU KWA MAUAJI YA BABA YAKE
Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Iguda, Limi Kulwa(30) amekatwa mapanga hadi kufa na mumewe aliyemtuhumu kuwa amemuua baba yake mzazi. ...
WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA ECOP: WAZIRI MAKAMBA
WAZIRI MAKAMBA: WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA EACOP Waziri wa Nishati, January Yusuf Makamba ameeleza kuwa Wakuu wa Mikoa mina...
KOREA KUSINI YAPIGA MARUFU ULAJI WA MBWA
Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in amesema kuwa muda sahihi umefika wa kupiga marufuku ulaji wa mbwa katika nchi hiyo. Rais Moon ambaye ni M...
TANZANIA KUENDELEA KUPAA KIUTALII
Serikali ya Tanzania imeendelea kushirikiana na nchi Jumuiya za Umoja wa Afrika katika kuendeleza utalii kwa lengo la kukuza uchumi wa nchi ...
NYOTA R. KELLY APATIKANA NA HATIA YA UNYANYASAJI WA KINGONO
Mwimbaji wa Marekani Robert Kelly maarufu R Kelly amekutwa na hatia ya kutumia hadhi yake ya kuwa nyota kuendesha mpango wa kuwadhulumu ki...
OLE NASHA AFARIKI DUNIA, RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA KWA MASIKITIKO
Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Ole Nash...
ALAT YAJA NA NEEMA KWA MADIWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali imeridhia madiwani kulipwa posho ya kila mwezi ili iw...
SIMBA KUIFUATA BIASHARA UNITED LEO
Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC leo Jumatatu (Septamba 27) kitaelekea mjini Musoma mkoani Mara, tayari kwa mchezo wa kw...
SERIKALI YATOA MAAGIZO MAEGESHO YA MV MWANZA
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) kuandaa miundombinu ya maegesho ya meli kwa ajili y...
YOUNG AFRICANS YAIFUATA KAGERA SUGAR
Kikosi cha Young Africans kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Kagera, tayari kwa mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara msim...
MAKAMBA: TANESCO IENDESHWE KIBIASHARA
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili...
KOCHA NABI ALIA NA MUUNGANIKO WA KIKOSI CHAKE
Licha ya kuibanjua Simba SC bao 1-0 na kikosi chake kuonesha soka safi katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddi...
SIMBA SC YATANGAZA NJAA 2021/22
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, umeweka wazi mipango na matarajio yao kwa msimu wa 2021/22 ambao unaanza rasmi leo Jumat...
BREAKING NEWS: SIKILIZA DIVINE RADIO FM KWA NJIA YA MTANDAO POPOTE ULIPO
Karibu usikilze Divine Radio FM kwa njia ya mtandao popote ulipo kupitia simu janja yako. Bofya HAPA kupakua App yetu na ufurahie matang...
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi.
BITEKO: MIRERANI HAITAGEUZWA SHAMBA LA BIBI
Waziri wa Madini Dotto Biteko akesema hawezi kukubali mji mdogo wa Mirerani uliopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, ufanywe shamba la b...
SALUNI YAAMRIWA KUMLIPA MWANAMITINDO SH627 MILIONI KWA KUMNYOA VIBAYA
New Delhi, India (AFP). Saluni nchini India imeamriwa kumlipa mwanamitindo zaidi ya dola 271,000 za Kimarekani (sawa na takriban Sh627.4 mi...
BUNGE LAJADILI UJERUMANI KULIPA FIDIA MAUAJI YA KIMBARI
Bunge nchini Namibia litajadili makubaliano kati ya nchi hiyo na Ujerumani katika hatua ya kulipa fidia ya wahanga wa mauaji ya kimbari ya...
MWANDISHI WA ITV/RADIO KANDONGA AFARIKI DUNIA
Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Mkoa wa Songwe, Gabriel Kandonga amefariki Dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo asubuhi katika ene...
MBOWE AFIKISHWA MAHAKAMANI
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wamefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uhuj...
CHUO KIKUU NCHINI CANADA KIMEANZISHA SOMO KUHUSU DRAKE NA THE WEEKND
NI Septemba 24, 2021 ambapo chuo kikuu kimoja kiitwacho Ryerson University huko Toronto nchini Canada kimeanzisha somo jipya liitwalo Dec...
WALIOUWA NA KUMZIKA MTOTO AKIWA AMEKAA WAHUKUMIWA
Tabibu Nyundo na Thobias Mtakiyicha, waliohukumiwa kunyongwa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imewahukumu watu wawili kunyongwa hadi kufa baada...
WAWILI WAKAMATWA NA MENO YA TEMBO KILO 25
JeshiI la Polisi mkoa wa Kipolisi Rufiji, linawashikilia watuhumiwa wawili kwa kukutwa na nyara za serikali, zinazodaiwa ni meno ya tembo ...
MAKUBALIANO YA IAEA NA IRAN YALETA MATUMAINI YA MAZUNGUMZO YA MKATABA WA NYUKLIA
Shirika la Umoja wa Mataifa la ukaguzi wa nyuklia IAEA limefikia makubaliano na Iran kuhusiana na kuvifanyia marekebisho vifaa vya ukaguzi k...
WANAWAKE WAJITOSA UCHAGUZI MKUU UFARANSA
Wanasiasa wawili wanawake nchini Ufaransa, Marine le Pen na Anne Hidalgo wamezindua kampeni zao kwaajili ya kuwania urais kwenye uchaguzi...
RAIS SAMIA AVUNJA MWIKO WA MUDA MREFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulihiu Hassan amesema kuwa amefanya mabadiliko ya muundo wa Wizara mbili ya Wizara ya Habari ...
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 13 Septemba, 202...
WAZIRI AWESO AITUMIA BASHUNGWA CUP KUWAPA MBINU WABUNGE
\ Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametoa rai kwa wabunge hapa nchini kuziomba mamlaka zinazowazunguka kuboresh miundombinu ya michezo ikiwa...
SENZO KUTANGULIA NIGERIA, HOFU YATAWALA
Uongozi wa klabu ya Young Africans umeanza maandalizi ya kuelekea mchezo wa mkondo wa pili, wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika hatua ya awali...
WIZARA YA AFYA YAFANYA MABADILIKO YA UJENZI
Uongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto umefanya mabadiliko ya kitengo cha ujenzi kwa kukisuka upya ili kuwez...
WATANZANIA WAOMBWA KUACHA KUKUMBATIA TAMADUNI ZA KIGENI
Serikali imewataka Watanzania kuacha kukumbatia tamadumi za kigeni, hususani vijana ambao ndio wamekuwa chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa m...
IBADA MAALUMU YA KUWAOMBEA HAYATI MAGUFULI, MKAPA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na wenye Ulemavu Jenista Mhagama, ameeleza uwepo wa ibada ya kuwaombea Hayati Baba wa Taifa Mwl. ...
KATIBU MKUU CCM AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Ndg...
WAFUNGWA 41 WAFARIKI GEREZA LIKITEKETEA KWA MOTO
Watu wapatao 41 wamefariki baada ya moto kutokea katika gereza katika gereza la Indonesia lililopo pembezoni mwa Mji Mkuu wa Jakarta. Moto h...