} });
 


NI Septemba 24, 2021 ambapo chuo kikuu kimoja kiitwacho Ryerson University huko Toronto nchini Canada kimeanzisha somo jipya liitwalo Deconstructing Drake & The Weeknd .

Mwalimu wa muziki aliyefahamika kwa jina la Higgins  alisema wanafunzi wa chuo hicho watajifunza mengi kuhusiana na maisha ya The Weeknd na Drake .

“Nina amini wanafunzi wakifahamu somo hili watapata uelewa mzuri juu ya wawili hao walizaliwa hapa Canada”- Higgis

“Wanafunzi watapata nafasi pia ya kujifunza mashairi ya wawili hao yaani lyrics lakini pia kuwasoma kwa umakini Drake na The Weeknd”- Higgis

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top