Jaji Elinaza Luvanda wa Mahakama Kuu Divisheni ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi aliyekutwa anaisikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi namba 16/2021 yenye mahstaka sita yakiwemo ya Ugaidi, amejitoa kusikikiza kesi hiyo.
Sababu ya kujitoa katika kesi hiyo ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe.Freeman Mbowe kuieleza mahakama hiyo kuwa yeye na washtakiwa wenzake watatu hawana imani na Jaji huyo na wana mashaka kama katika kuendesha kesi hiyo kama haki itatendeka.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment