} });
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania leo tarehe 08 Septemba, 2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa, Magu Mkoani Mwanza.


“Nashukuru sana kwa kunipa dhima na wadhifa huu nami nimekuwa Chifu wa Machifu, ahadi yangu kwenu mmenipa dhima ya kulilinda na kuliongoza Taifa hili Nani naipokea , ombi langu kwenu Watemi na Machifu tushirikiane kutunza amani na ushirikiano wa Nchi yetu “ Rais Samia
soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top