} });
 


Spika wa Bunge Job Ndugai ameomba radhi Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla waliokwazika na kauli yake aliyoitoa leo asubuhi Bungeni akieleza mstari wa Biblia ambapo taarifa hiyo ya Bunge imesema alichokua anamaanisha ni Yusufu na sio Yesu.

Alichomaanisha Spika ni kwamba “Yusufu alitembea na Mke wake kutoka Nazareti kwenda mpaka Yerusalemu kuhesabiwa” na sio Yesu kama alivyotamka, kilichotokea ni hali ya kibinaadamu ya ulimi kuteleza ambayo inaweza kumtokea Mtu yeyote…. imeeleza taarifa hiyo.

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza taarifa kamili kuhusu alichokisema Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top