} });
 

 

Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la kampuni ya Kimotco ya jijini Arusha, ajali ambayo imetokea jana Oktoba 26, 2021, majira ya saa 1:00 asubuhi katika barabara ya Arusha-Babati, eneo la Makuyuni wilayani Monduli mkoani Arusha.

 

Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha ACP Justine Masejo, amesema kuwa majeruhi wanne walikuwa na hali mbaya, na walipelekwa katika hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya matibabu.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top