} });
 

 

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Shilingi Trilioni 5.151 katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021-22, ambayo ni sawa na ufanisi wa asilimi 94.3 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 5. 462.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top