Aliyekuwa Dereva wa basi la Sharon lililosababisha ajali na kupelekea vifo vya Askari Polisi wanne mkoani Njombe na majeruhi saba William ...
Divine Radio Live
AKAMATWA KWA KUUZA SENENE KWENYE NDEGE UGANDA
Polisi nchini Uganda wamemkamata Paul Mubiru (27) ambaye alionekana kwenye video iliyosambaa akiuza Senene ndani ya Ndege ya Uganda Airlin...
WATAKAORUDI SHULE SIO WAJAWAZITO TU, HATA WALIOENDA KUSAIDIA FAMILIA - RAIS SAMIA
Serikali imetoa nafasiya kurudi shule kwa wanafunzi walioacha shule kwa sababu mbalimbali za kibinadamu ikiwemo sababu za kiuchumi, kupata u...
RAIS RAMAPHOSA ATOA WITO KWA NCHI ZA ULAYA NA MAREKANI KUONDOA VIKWAZO
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa Nchi za Ulaya na Marekani kuondoa vikwazo vya safari kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrik...
AKAMATWA NA MAFUTA YA SIMBA, MENO YA NGIRI
Jeshi la Polisi mkoani Katavi, linamshikilia Seda Mbutula (47) kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali zidhaniwazo kuwa ni mafuta ya si...
WATU SABA WALIOKULA KASA MWENYE SUMU WAFARIKI
Watu sita wamefariki Dunia maara baada ya kula samaki mwenye sumu aina ya Kasa na Jumla ya watu 63 Wamefikishwa Hospitali ya Micheweni Huko ...
TANZANIA KUAGIZA SUKARI UGANDA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali yake itaagiza sukari kutoka nchini Uganda ikiwa ni miezi tangu Rais wa Uganda, Yoweri Museveni k...
WATUHUMIWA WA UGAIDI 106 WAKAMATWA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza vita na Magaidi wote nchini humo na kuwataka wajisalimishe wenyewe ili waokoe maisha lasivyo wot...
MKE AMKATA MUMEWE KORODANI ADAI HAZINA FAIDA
Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karam...
WAMACHINGA DAR WADAIWA KUVAMIA ENEO LA KANISA
Makamu Askofu kanisa la Orthodox jimbo la Dar es Salaam, Cleophace Bachuba Wamachinga jijini Dar es Salaam waliohamishwa eneo la Mbuyuni ka...
MWAKA MMOJA WA MNYUKANO BUNGENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo hapo kwa bunge jijini Dodoma. Mkutano wa tano wa Bunge uli...
SIKU 1,448, KINA GUGAI WALIVYOSOTA GEREZANI
Baada ya kusota mahabusu kwa siku 1,448 tangu wafikishwe mahakamani, hatimaye aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushw...
MTOTO AJIUA KWA PISTOL YA BABA YAKE
Mtoto mwenye umri wa miaka 6, Erick Mkandi ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Izumangambo Mkoani Geita, amefariki duni...
VIDEO: KAULI YA KWANZA YA MBWANA SAMATTA KWA WATANZANIA KABLA YA KUUNGANA NA STARS
Nahodha wa Time ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta leo amewasili nchini akitokea Ubelgiji kwa jailli ya kuungana na Taifa Sta...
POLISI WANAMTAFUTA MZEE MTWEVE "TOKA AENDE MAWINDONI HAJARUDI"
Polisi Mkoani Pwani wamesema wanamtafuta Mzee Charles Tulaona Mtweve (67) Mkazi wa Kijiji cha Mafizi Kata ya Gwata Wilaya ya Kisarawe ambaye...
IMF - "NJAA IMEONGEZEKA KOTE DUNIANI"
Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa limesema kwamba idadi ya Watu walio hatarini kutumbukia kwenye baa la njaa katika Mataifa 43 imeong...
"HATUTASHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MPAKA TUME HURU YA UCHAGUZI IUNDWE" - CHADEMA
Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu Chama hakitashiriki Uchaguzi mdogo ...
WATANO WAFARIKI DUNIA NYUMBA IKITEKETEA KWA MOTO
Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwemo kuteketea kwa moto katika mtaa wa Mandela uliopo Igoma Mashariki...
MWENYEKITI/MC AMUUA MKEWE NAE AJINYONGA
M wenyekiti wa Kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe Wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31)...
WAANDAMANAJI SUDAN WARUSHIWA MABOMU YA MACHOZI
Vikosi vya usalama nchini Sudan vimerusha mabomu ya machozi kwa waandamanaji ambao wanapigania demokrasia katika mji mkuu wa Khartoum. Walim...
YOUNG AFRICANS WANA JAMBO LAO MSIMU HUU
Uongozi wa klabu ya Young Africans umesisitiza msimu huu una jambo lao na kwamba hawana muda wa kubembeleza mchezaji, kama akipigiwa simu ...
KINACHOJIRI MAHAKAMANI KESI YA KINA MBOWE
Washtakiwa katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wameshafikiswa katika Mahakama Kuu (Div...
WAFANYA BIASHARA WA GESI WASHAURIWA KUWA NA MIZANI
Na Nicholaus Paul Lyankando - Geita Wafanyabiashara wa gesi wameshauriwa kuwa na mizani ya kupimia ujazo wa gesi ili kuondokana na misug...
BIDHAA YA SAMAKI BEI JUU SOKO DOGO LA MALYA MWANZA
Na Faustine Gimu Galafoni Bei ya samaki katika soko la Malya wilayani Kwimba mkoani Mwanza imepanda kutoka 4,000 hadi 6,000 na kuendelea h...
SHAHIDI WA NANE KESI YA KINA MBOWE LEO
Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu inaende...
CCM YATEUA MGOMBEA UBUNGE WA NGORONGORO, UMEYA SHINYANGA
Taarifa kutoka Chama Cha Mapinduzi. Yateua mgombea Ubunge wa Ngorongoro pamoja na wagombea Umeya wa Shinyanga.
THPS YAJA NA MPANGO MKAKATI MPYA, YATAJA VIPAUMBELE VYAKE
Tanzania Health Promotion Support (THPS) imeadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake huku ikizindua mpango mkakati wake wa miaka mitano (...