} });
 

 

Polisi nchini Uganda wamemkamata Paul Mubiru (27) ambaye alionekana kwenye video iliyosambaa akiuza Senene ndani ya Ndege ya Uganda Airlines, vilevile wamemkamata Hajib Kiggundu Hajib (25) kwa kosa la kurekodi video hiyo ya Paul akiuza Senene.

Polisi wamesema wawili hao watafikishwa Mahakamani kwa makosa matatu ikiwemo kukaidi maelekezo ya Wahudumu wa Ndege na kuvunja masharti ya Covid 19, wakikutwa na hatia wanaweza kufungwa hadi miaka saba.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top