} });
 

 

Serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ya diesel kuanzia kesho ambapo bei ya diesel imeshuka kwa shilingi 18 katika bandari ya Dar es salaam kutoka 2261 mwezi october nakufikia 2043 mwezi huu huku bei ya mafuta ya pertol ikiwa imebaki kama ilivyo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top