} });
 

 

Nahodha wa Time ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta leo amewasili nchini akitokea Ubelgiji kwa jailli ya kuungana na Taifa Stars katika michezo miiili muhimu ya kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, Stars watacheza dhidi ya Congo DR alhamisi hii uwanja wa Taifa na baadea kwenda Madagascar kucheza dhidi ya Timu ya Taifa ya Madagascar November 14.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top