} });
 

 

Watu watano wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwemo kuteketea kwa moto katika mtaa wa Mandela uliopo Igoma Mashariki jijini Mwanza.

Akizungumza kwa njia ya simu Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mkoani humo, Ambwene Mwakibete amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Mwakibete amesema kuwa moto huo umetokea usiku wa kumakia jana Jumatatu Novemba 8, 2021. “Ni kweli waliofariki ndani ni Lameck Benedicto, mke wake, mtoto wake wa kike na wageni wake wawili ambao bado majina yao hayajatambulika,”.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top