} });
 


Watu sita wamefariki Dunia maara baada ya kula samaki mwenye sumu aina ya Kasa na Jumla ya watu 63 Wamefikishwa Hospitali ya Micheweni Huko Kisiwani Pemba kaskazini shehia ya Msuka.

“Inavyosemekana mbali ya sumu alokuwa nayo ,watu sasa hivi wanawatia sumu ili watu wasiwavue ni vyema tusidanganye kuwatoa baadhi ya maeneo ya mwili wake kama itasababisha kumla kasa salama cha msingi tuache tabia hizo ili watu waweze kunusurika” - Juma Sadi Khamiss Kamanda Kaskazini Pemba

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top