} });
 

 

Aliyekuwa Mpiga picha Maarufu ndani na nje ya nchi na mfanyakazi wa Shirika la Habari nchini Tanzania (SHIHATA) kwa sasa Habari maelekezo badaye kufanya kazi ya ukufunzi katika Vyuo vya Uandishi wa Habari  hapa nchini, amefariki dunia huku akiacha Familia, Wajuu pamoja na vitukuu.

Divine Fm Radio inaungana na ndugu jamaa, Wanataaluma, wanatasinia pamoja na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha Nguli huyo wa picha hapa nchini aliyesifika kwa kufanya kazi yake kwa weledi mkubwa pamoja na nidhamu ya hali ya juu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top