POLISI mkoani Kagera , inamshikilia Amos Rudovick (39) kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wake Dastan Amos (13), kwa kumchapa n...
MBOWE: KHENANI KUAPA AMEKAIDI MSIMAMO WA CHAMA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa mbunge pekee wa jimbo la Nkasi Kaskazini, Aida Khen...
WAZIRI JAFO AIPA TANO BUCHOSA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mhe. Selemani Jafo, ameipongeza Halmashauri ya Buchosa, Senger...
MKURUGENZI ASWEKWA NDANI KWA AMRI YA RC MONGELA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema, Boniface Magesa, na afisa ardhi wake kw...
VIDEO: GIGY MONEY AWAPONZA WASAFI, TCRA YAWAFUNGIA MIEZI 6
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeifungia Televisheni ya Wasafi TV kutoa huduma kwa muda wa miezi sita kuanzia Januari 6, 2021, hadi...
KLOPP ALILIA PENATI ZA MAN U “AMEPEWA PENATI NYINGI MIAKA MIWILI”
Meneja wa majogoo wa Uingereza Liverpool, Jurgen Klopp ametoa malalamiko kwa uamuzi unaofanywa katika michezo ya Liverpool na kudai kuwa...
GIGY MONEY AFUNGIWA NA KUPIGWA FAINI
Leo December 05, 2020 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Staa wa Bongfleva Gift Stanford Joshua maarufu Gigy Money kujihusis...
KILA MTOTO ANAEZALIWA ATAPEWA DOLA 50
Kuanzia mwaka huu, kila mtoto anayezaliwa huko Illinois nchini Marekani atakuwa na dola 50 zaidi ya Sh. 117,000 iliyowekwa kwenye akaunti ya...
MARUFUKU KUINGIA NA KUTOKA KIGALI
Rwanda imepiga marufuku usafiri wa umma na kibinafsi kati ya Wilaya na Mji Mkuu wa Kigali, uamuzi huo ni kutokana na hali ya kutisha ya ma...
KUNGURU CHANZO CHA UMEME KUKATIKA KINONDONI
Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika Wila...
PAUL WA P. SQUARE AKUTWA NA CORONA
Moja ya stori ya kuifahamu leo ni kwamba Staa wa muziki kutokea Nigeria ambae alikuwa akiunda kundi la P. Square (Paul Okoye) amepima na k...
WATOTO MILIONI 140 WATAZALIWA DUNIANI 2021
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limekadiria kuwa hadi siku hii ya kwanza ya mwaka itakapoisha, kuanzia Fiji, ambako ...
“JANUARY MWISHO WA UHABA WA VITAMBULISHO VYA TAIFA” SIMBACHAWENE
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema Vitambulisho kutolewa kwa uchache kulitokana na mchakato wa manunuzi ndani ya Serik...
MHUDUMU WA NDEGE MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI (+PICHA)
Bette Nash ni muhudumu wa ndege mwenye umri mkubwa zaidi ulimwenguni, alianza kufanya kazi hiyo mwaka 1957 na shirika la Eastern Airlines am...
MAAGIZO YA MWINYI KWA MA-DC WAPYA 11 ALIOWATEUA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wakuu wapya wa Wilaya walioapishwa kuhakikisha kuna...
JANUARY 6 MWISHO KUKATA TIKETI KWA MKONO
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza kuanza kwa matumizi ya Tiketi za Kieletroniki kwenye Mabasi yanayokwenda Mikoani...
VIDEO: MAJALIWA AAGIZA MADIWANI WATATU WAKAMATWE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakiki...
WATU 100 WAMEUAWA NIGER
Mamlaka za Niger zimesema takriban watu 100 wameuawa na Wanamgambo huku wengine 75 wakiachwa na majeraha baada ya mashambulizi kutokea kat...
MBUNGE AAPA KUINGIA NA BUNDUKI BUNGENI
Mbunge mpya mwanamke aahidi kutembea na bunduki wakati wa muhula wake huko Washington DC, Lauren Boebert ambaye ni Mbunge kupitia Chama cha ...