Beki wa kati wa club ya Mtibwa Sugar ya Morogoro Dickson Job amesaini mkataba wa kuichezea Yanga SC. Job anajiunga na Yanga SC kwenda kuimar...
SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI KUANZA KUTUMIKA JANUARI 2022
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha...
LIVE: RAIS MAGUFULI NA RAIS NA MSUMBIJI WANAZUNGUMZA MUDA HUU
RAIS wa Msumbiji, Filipe Nyusi, amewasili nchini leo Januari 11, kwa ajili ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili. Rais Nyusi, amepokelewa...
POLISI WATAJWA KUSHIRIKIANA NA WALIOVAMIA BUNGE
TUKIO la Marekani la wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge limezua sura mpya baada ya baadhi ya Wawakilishi kusema wana ushahidi kuwa polisi...
NICK MINAJ KUMLIPA CHAPMAN BIL. 1 KESI YA HAKIMILIKI
MSANII wa muziki wa kufokafoka (Hip Hop) kutoka Marekani, Onika Tanya Maraj-Petty maarufu kama Nicki Minaj, atamlipa msanii Tracy Chapman do...
RAIS AMFUTA KAZI WAZIRI WA AFYA
RAIS wa Zambia, Edgar Lungu, amemfuta kazi waziri wa afya nchini humo, Chitalu Chilufya, ambaye mwezi Juni mwaka jana alikamatwa kwa tuhuma ...
AKAUNTI ZA FACEBOOK ZINAZOMWUNGA MKONO MUSEVENI ZAFUNGWA
WAFUASI wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, wameilalamikia kampuni ya Facebook kwa madai kuwa ilifunga akaunti zao kwenye mtandao huo. W...
BIBI HARUSI AFARIKI DUNIA BAADA YA FUNGATE
DESEMBA 11, 2020, Mastin Mukanga alifunga pingu za maisha na Linet Kavere katika harusi maridadi lakini bibi harusi aliaga dunia siku 18 baa...
JACK MA: MTOTO WA MASKINI ALIYEPITIA MISUKOSUKO KABLA YA KUWA BILIONEA
Tajiri namba moja nchini China, Jack Ma. Ukiona mtu amefanikiwa maishani, usidhani ni kazi rahisi! Nyuma ya mafanikio ya watu wengi unaowa...
WAZIRI AJIUZULU BAADA YA KUGUNDULIKA ALIIGIZILIA CHUO
Waziri wa Kazi, Familia na Vijana wa Australia, Christine Aschbacher amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa baadhi ya kazi zake za chuo amen...
MSAKO KWA WANAOWATUMIA WALEMAVU
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu, Ummy Nderiananga amesema wataendelea na msakao wa watu ...