} });
 

C.E.O SIMBA AMTAJA MRITHI WA SVEN
C.E.O SIMBA AMTAJA MRITHI WA SVEN

Mtendaji Mkuu wa Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez. MTENDAJI Mkuu wa Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez, amemtaja kocha atakayekuja kumrithi Sven...

Read more » Soma zaidi »

LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA KUTIMU VUMBI WIKI HII!
LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA KUTIMU VUMBI WIKI HII!

Kunako EPL Jumanne hii,  Sheffield United uso kwa uso na Newcastle United . Sheffield ya msimu huu ni tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. ...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: SABABU YA BEI YA MAFUTA YA KUPIKIA BEI KUPANDA
VIDEO: SABABU YA BEI YA MAFUTA YA KUPIKIA BEI KUPANDA

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe (Mb) amewahakikishia wananchi kuwa hali ya upatikanaji wa mafuta ya kula itatengemaa mara b...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI YAIRUDISHA CUBA KATIKA NCHI ZINAZOFADHILI UGAIDI
MAREKANI YAIRUDISHA CUBA KATIKA NCHI ZINAZOFADHILI UGAIDI

Utawala wa Rais Donald Trump umeirudisha Cuba katika orodha ya ‘nchi zinazofadhili ugaidi‘ na kuiwekea vikwazo vipya vinavyoweza kukwamisha ...

Read more » Soma zaidi »

CORONA YAIBUKA TENA KWA NGUVU CHINA
CORONA YAIBUKA TENA KWA NGUVU CHINA

  CHINA imepiga marufu watu kutotoka nje katika maeneo ya kitongoji kimoja katika mji wake mkuu wa Beijing, ikiwa ni kupambana na janga baya...

Read more » Soma zaidi »

ALICHOZUNGUMZA RAIS WA MSUMBIJI AKIWA CHATO
ALICHOZUNGUMZA RAIS WA MSUMBIJI AKIWA CHATO

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi, amesema kuwa mara baada ya kufika katika anga la Chato, aliona mashimo mengi chini ikiwa ni kiashirio cha uc...

Read more » Soma zaidi »

HOSPITALI YA RUFAA YA CHATO ASILIMIA 90 IMEKAMILIKA
HOSPITALI YA RUFAA YA CHATO ASILIMIA 90 IMEKAMILIKA

  Ujenzi wa Hospitali ya Kanda ya Chato umekamilika kwa asilimia 90 katika awamu ya kwanza ambayo makabidhiano ya miundo mbinu ya awamu hiyo...

Read more » Soma zaidi »

RAIS ZAMBIA AMFUTA KAZI WAZIRI WA AFYA
RAIS ZAMBIA AMFUTA KAZI WAZIRI WA AFYA

  Rais wa Zambia, Edgar Lungu amemfuta kazi waziri wa afya nchini humo Chitalu Chilufya ambaye mwezi Juni mwaka jana alikamatwa kwa tuhuma z...

Read more » Soma zaidi »

MIURA AONGEZA MKATABA KUCHEZA SOKA AKIWA NA MIAKA 54
MIURA AONGEZA MKATABA KUCHEZA SOKA AKIWA NA MIAKA 54

Mchezaji wa Kijapan mwenye umri mkubwa Kazuyoshi Miura (54) anarudi tena uwanjani baada ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja na club yake ya Y...

Read more » Soma zaidi »

BITEKO AWACHARUKIA WANAONUNUA MADINI KINYEMELA
BITEKO AWACHARUKIA WANAONUNUA MADINI KINYEMELA

  Waziri wa Madini, Dotto Biteko amewacharukia matapeli wanaojihusisha biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kinyemela  majumbani mwao na ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMANNE 12 JANUARI, 2021
MAGAZETI YA LEO JUMANNE 12 JANUARI, 2021

 

Read more » Soma zaidi »
 
Top