Mkuu wa Wilaya ya Kahama Annamringi Macha amepiga marufuku biashara ya nyama ya nguruwe na usafirishaji wa nguruwe wenyewe baada ya wanyama ...
MBARONI KWA KUBAKA, KUMPA UJAUZITO BINTI YAKE
KIJANA mmoja mkazi wa kijiji cha Igunila kata ya Ziba wilayani Igunga mkoani Tabora, Sharif Idd Maganga (28) amekamatwa na Jeshi la P...
SANGOMA ASAKWA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAYE AKIMSAFISHA NYOTA
POLISI Mkoa wa Shinyanga inamsaka mganga wa jadi, Dela Megejuwa Lwaho (44), kwa kusababisha kifo cha mtoto wake, Juma Dela Megejuwa (12...
AMUUA BABU YAKE BAADA YA KUMUONA ANATESEKA NA MARADHI
Saidi Kihundwa (98), Mkazi wa Kijiji cha Mlangoni katika Kata ya Gararagua, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuuawa kikatili na m...
KUCHIMBA DAWA! MADEREVA WA MABASI, WENYE HOTELI KITANZINI
“UKIFIKA hotelini, kama huna fedha, utaishia kununua maandazi.” Joackim Mwakalobo, mkazi wa Mbalizi mkoani Mbeya, analalamika kuhusu gharama...
WENYEVITI KAMATI 14 ZA BUNGE KUJULIKANA LEO DODOMA
UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati hizo kuanza, jijini Do...
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI TUME YA TAIFA YA MATUMIZI YA ARDHI
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Nindi, taarifa ilioyotolewa na Katibu Mku...
RAIS MAGUFULI MAGUFULI “WATANZANIA TULIME ILI TUWASAIDIE WANAOSUMBULIWA NA CORONA”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Januari, 2021 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki la...