Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga imefanikiwa kurejesha nyumba mbili zenye thamani ya Sh milioni 55 za M...
Divine Radio Live
EU KUZIRUHUSU TENA NDEGE ZA BOEING 737 MAX
Umoja wa Ulaya (EU) umepanga kutoa idhini kwa utumiaji wa ndege za abiria aina ya Boeing 737 Max kuanzia wiki ijayo, ambazo zilikuwa zimep...
AZAM FC YAFANYA MABADILIKO
Klabu ya Azam FC imefanya mabadiliko ya uongozi kwa kumteua Nassor Idrissa Mohamed ‘Father’ kuwa Mwenyekiti, akichukua nafasi ya Shani Chris...
RWANDA YAREJEA ‘LOCKDOWN’ TENA
Raia katika jiji la Kigali, Rwanda leo wameanza kutekeleza amri ya kutotoka nje kwa siku 15 kufuatia kushuhudiwa kwa ongezeko la maambukiz...
AC MILAN YAMNASA MARIO MANDZUKIC
Klabu ya AC Milan imemsajili mshambuliaji wa zamani wa Mabingwa wa soka nchini Italia Juventus FC, Mario Mandzukic kwa kumsainisha mkataba h...
SAA CHACHE KABLA YA KUAPISHWA, BIDEN AMWAGA MACHOZI KABURINI
RAIS mteule, Joe Biden, alielekea Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wake Donald Trump ambaye atasusi...
CARLINHOS AREJESHWA YANGA, KUANZA MAZOEZI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Carlos Sténio Carlinhos anatarajia kurejea kikosini kuungana na wenzak...
JOSE CHAMELEONE AUSAKA UMEYA KAMPALA
NYOTA wa muziki wa Hip Hop nchini Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya meya wa...
TRUMP AMSAMEHE ALIYEKUWA MSHAURI WAKE DAKIKA ZA MWISHO MADARAKANI
RAIS anayeondoka madaraka Donald Trump amsamehe aliyekuwa mshauri wake Steve Bannon , ambaye anakabiliwa na mashitaka ya udanganyifu. Ta...
BIDEN KUAPISHWA LEO, TRUMP ATOA KAULI YA MWISHO IKULU (VIDEO)
RAIS Donald Trump amelihutubia taifa la Marekani kabla hajaondoka madarakani na kusema: “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na ...
LIVE: MAKAMU WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DODOMA
Leo Januari 20, Tanzania inaadhimisha siku ya Kiswahili, ambapo hafla ya maadhimisho hayo imefanyika kitaifa jijini Dodoma.
MWASITI AFUNGUKA KUACHA MUZIKI
MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki aki...
LIVE: WAZIRI MKUU AKIWA KWENYE ZIARA YA UTEKELEZAJI WA KILIMO CHA MKONGE TANGA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, leo Januari 20, ameanza ziara ya kikazi mkoani Tanga ya kufuatilia utekelezaji wa kilimo cha zao la Mkonge w...
STARS YAPAMBANA YACHAPWA 2-0 NA ZAMBIA CHAN (+VIDEO)
HUKU Taifa Stars ikianza na wachezaji wengi ambao hawana uzoefu kwenye michuano ya kimataifa, jana ilichapwa mabao 2-0 na Zambia. Huu ulik...
AJIUA KWA KUJIMWAGIA PETROL NA KUJICHOMA
Hashimu Selemani maarufu Chikwisu mkazi wa Mtaa wa Julia Newala Mjini Mkoani Mtwara amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol m...
TAKUKURU YACHUNGUZA BILIONI 1 ZILIZOKOPWA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Simiyu inafanya ufuatiliaji wenye lengo la kubaini jinai kwa wakopaji kumi kupiti...
WATUMISHI WATANO WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI
Watumishi watano kati ya sita wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa vyombo vya maadili ya utu...