RIZIKI MOSHA (23) mkazi wa mkoani Arusha amekamatwa na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa wa Kilimanjaro kwa tuhuma za kuiba waya kati...
ALIKIBA: KWANGU MUDA WA KUVAA ULISHAPITA
MSANII wa muziki Bongo, Alikiba amesema suala la uvaaji kwenye video zake halimsumbui tena maana mambo mengi ameshayapitia kwenye muziki w...
PROF. JAY: SIYO LAZIMA UIMBE MATUSI
MSANII mkongwe wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay, amewakemea wasanii kuendekeza kuimba mambo ya chumbani katika nyimbo...
NAIBU WAZIRI ALIPONGEZA JESHI LA POLISI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Khamis Hamza Chilo (Mb) akiwasili katika ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Nchini zilizop...
WAGONJWA WAPYA WA SARATANI WAONGEZEKA TANZANIA
TANZANIA kuna ongezeko la wagonjwa wapya wa Saratani wapatao 50,000 na inakadiriwa kuwa, ifikapo mwaka 2030 kutakuwa na ongezeko la asilimi...
BIDEN AANZA KAZI KWA KUTENGUA SERA ZA TRUMP
RAIS mpya wa Marekani Joe Biden ameanza kutengua sera kadhaa muhimu za Donald Trump, saa chache baada ya kuapishwa. Rais Biden tayari amesa...
TRUMP AMWANDIKIA BIDEN UJUMBE NA KUUACHA WHITE HOUSE
Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump amefuata angalau utamaduni mmoja kama ilivyo kawaida na marais wanaondoka madarakani.
TRUMP AMUOKOA LIL WAYNE KIFUNGO CHA MIAKA 10
Rais Trump amewasamehe Watu zaidi ya 70 wenye makosa mbalimbali muda mfupi kabla ya kuondoka Ikulu ambapo miongoni mwa waliosamehewa ni Rapp...
MAGARI KUTOKA NJE YA NCHI KUKAGULIWA BANDARI YA DSM
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limesema kuanzia Machi Mosi, 2021 utaratibu wa kukagua magari kutoka nje ya nchi utakuwa ukifanyika baada ...
RC MGHWIRA AAGIZA WATANZANIA WALIOSHIKILIWA KENYA WAACHIWE
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amemuagiza Mkuu Wilaya ya Taita Taveta nchini Kenya kuwaachia huru Watanzania saba wanaoshik...
DUDUBAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI
Mwanamuzi wa bongofreva Godfrey Tumaini maarufu Kama (Dudubaya) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la lug...
RASMI BIDEN NDIE RAIS WA 46 WA MAREKANI, ATOA HOTUBA NZITO
“Hii ni siku ya Wamarekani. Hii ni siku ya demokrasia. Siku ya historia na matumaini.” Ni kauli ya Rais Joe Biden baada ya kula kiapo. Ra...