} });
 
SERIKALI YAWAONYA WANAOVUJISHA SIRI ZA MTEJA
SERIKALI YAWAONYA WANAOVUJISHA SIRI ZA MTEJA

Serikali imeyaonya makampuni ya simu ambayo watumishi wao wamekuwa sio waaminifu na wamekuwa wakivujisha siri za wateja wao kwa watu wengine...

Read more » Soma zaidi »

SPURS KUWAKOSA NYOTA WATATU DHIDI YA WYCOMBE LEO
SPURS KUWAKOSA NYOTA WATATU DHIDI YA WYCOMBE LEO

  Masharobaro wa jiji la London’, Klabu ya Tottenham Hotspurs huenda ikawakosa nyota wake watatu kwenye mchezo wa mzunguko wa nne wa kombe l...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: RC KILIMANJARO ALIA NA TANESCO 'TOENI TAARIFA'
VIDEO: RC KILIMANJARO ALIA NA TANESCO 'TOENI TAARIFA'

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amelitaka Shirika la umeme nchini (TANESCO), kuhakikisha wanatoa taarifa mapema kabla hawajakata ...

Read more » Soma zaidi »

JPM AMZUNGUMZIA BALOZI ALIYEKULA HELA ZA SERIKALI
JPM AMZUNGUMZIA BALOZI ALIYEKULA HELA ZA SERIKALI

  Rais Dkt. John Magufuli, amemuomba Rais wa Ethiopia Sahle-Work Zewde, kukirudisha kiwanja ambacho kilitengwa kwa ajili ya Tanzania kujenga...

Read more » Soma zaidi »

WAFUNGWA 1789 WA ETHIOPIA WAPATA MSAMAHA WA JPM
WAFUNGWA 1789 WA ETHIOPIA WAPATA MSAMAHA WA JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde ma...

Read more » Soma zaidi »

CHELSEA YAMFUTA KAZI FRANK LAMPARD
CHELSEA YAMFUTA KAZI FRANK LAMPARD

Klabu ya Chelsea imemfuta kazi aliyekuwa kocha wake Frank Lampard kufuatia matokeo mabaya klabuni hapo hususani kwenye EPL kwa kupoteza mich...

Read more » Soma zaidi »

JAFO ATAMANI STENDI YA MBEZI IITWE MAGUFULI
JAFO ATAMANI STENDI YA MBEZI IITWE MAGUFULI

Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 25, 2021, alipotembelea kujionea hali ya uenzi wa stendi hiyo, ambapo pia ameuagiza uongozi wa mkoa wa Da...

Read more » Soma zaidi »

“TUMIENI MASHINE YA KISASAA KUPIMA MADINI”- TMDA
“TUMIENI MASHINE YA KISASAA KUPIMA MADINI”- TMDA

Mtaalamu wa Maa bara, Jovinary Rwezahura akieleza namna mashine hiyo inavyofanyakazi Mamlaka ya Dawa, vifaa tiba na vitendanishi (TMDA) Kand...

Read more » Soma zaidi »

SILINDE AAGIZA TSC KUPEWA OFISI ZENYE HADHI
SILINDE AAGIZA TSC KUPEWA OFISI ZENYE HADHI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amewaagiza Wakurugenzi wa Wilaya kote nchini, ku...

Read more » Soma zaidi »

UTOROSHAJI MAWE YA DHAHABU MIGODINI WAANZA KUDHIBITIWA
UTOROSHAJI MAWE YA DHAHABU MIGODINI WAANZA KUDHIBITIWA

Ofisi ya Madini Mkoa wa Simiyu imeanza oparesheni inayolenga kudhibiti vitendo vya utoroshaji wa mawe ya madini ya dhahabu katika migodi ya ...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI SIMCU ASIMAMISHWA UONGOZI KWA WIZI WA SIMU
MWENYEKITI SIMCU ASIMAMISHWA UONGOZI KWA WIZI WA SIMU

Mwenyekiti aliyesimamishwa kukiongoza chama hicho   Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Simiyu (SIMCU Ltd 2018) kimemsimamisha Mwenyekiti wa Cha...

Read more » Soma zaidi »

LIVE​ ZANZIBAR: RAIS MWINYI ANAWAAPISHA MAKATIBU WAKUU MUDA HUU
LIVE​ ZANZIBAR: RAIS MWINYI ANAWAAPISHA MAKATIBU WAKUU MUDA HUU

Read more » Soma zaidi »

TMDA MWANZA KUWA MAABARA BORA AFRIKA UPIMAJI VIPUKUSI
TMDA MWANZA KUWA MAABARA BORA AFRIKA UPIMAJI VIPUKUSI

Kaimu Meneja wa TMDA, Sophia Mziray Akizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari katika maabara hiyo jijini Mwanza, Mziray amesma maab...

Read more » Soma zaidi »

TRA RUVUMA YAVUKA MALENGO YA MAKUSANYO YA KODI
TRA RUVUMA YAVUKA MALENGO YA MAKUSANYO YA KODI

Mamlaka ya mapato Tanzania mkoa wa Ruvuma  imevuka lengo la kukusanya kodi kwa kipindi cha julai hadi disemba 2020  kwa kukusanya mapato kwa...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAHUTUBIA, ZIARA YA RAIS WA ETHIOPIA
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAHUTUBIA, ZIARA YA RAIS WA ETHIOPIA

Read more » Soma zaidi »

BEI YA MAFUTA YA KUPIKIA MWIBA KWA MAMA NTILIE MTWARA
BEI YA MAFUTA YA KUPIKIA MWIBA KWA MAMA NTILIE MTWARA

Watumiaji wa mafuta ya kula wakiwemo mama nitilie katika Manispaa ya Mtwara Mikindani wameiomba Serikali kuongeza uzalishaji wa mafuta ya ku...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI
RAIS WA ETHIOPIA AWASILI NCHINI

Rais wa Ethiopia Sahle-Work Zewde amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja kufuatia nwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanza...

Read more » Soma zaidi »

MPUTU, ULIMWENGU KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA SUPER CUP
MPUTU, ULIMWENGU KUIONGOZA TP MAZEMBE SIMBA SUPER CUP

Mabingwa wa Soka wa DR Congo na klabu mwalikwa kwenye michuano ya ‘Simba Super Cup’ TP Mazembe wametangaza kikosi kitakachoshiriki michuano ...

Read more » Soma zaidi »

ZANZIBAR KUJA NA MPANGO WA KUBORESHA UTALII
ZANZIBAR KUJA NA MPANGO WA KUBORESHA UTALII

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema inajipanga kuwa na vivutio vipya vingi vya utalii ili kumwezesha mtalii anapokuja nchini kutumia ...

Read more » Soma zaidi »

TANZIA: MAMA MZAZI WA DC JERRY MURO AFARIKI DUNIA
TANZIA: MAMA MZAZI WA DC JERRY MURO AFARIKI DUNIA

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,  Mhe .  Jerry Muro  anasikitika kutangaza kifo cha mama yake  Mzazi Mama   ANKUNDA MURO , kilichotokea katika Hos...

Read more » Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKERWA NA JUMBE ZA PROMO KWENYE SIMU
MAKAMU WA RAIS AKERWA NA JUMBE ZA PROMO KWENYE SIMU

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema inaudhi kupokea ujumbe kwenye simu wa promosheni unaotumwa na kampuni za simu za kiganjani akish...

Read more » Soma zaidi »

WACHEZAJI 4, RAIS, RUBANI WAFARIKI KWA AJALI YA NDEGE BRAZIL
WACHEZAJI 4, RAIS, RUBANI WAFARIKI KWA AJALI YA NDEGE BRAZIL

  WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana, Jumapili. Waliofar...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YABAINI DAY CARE CENTRE ZA KINYEMELA
SERIKALI YABAINI DAY CARE CENTRE ZA KINYEMELA

Sakata la uendeshaji wa vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centres) limeendelea kuchukua sura mpya ambapo Mkoani Tanga imebainika kuw...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI INAPATA BILIONI 80 KUTOKA KWENYE MIAMALA
SERIKALI INAPATA BILIONI 80 KUTOKA KWENYE MIAMALA

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ameiarifu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Tsh. Trilio...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 25 JANUARI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 25 JANUARI, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top