Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi mchezaji wake wa zamani na kocha wa African Lyon, Nizar Khalfan kuwa kocha wao msaidizi akiziba pengo lilil...
BARAZA LA SENETI LAPOKEA MASHTAKA DHIDI YA TRUMP
Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani limewasilisha hati ya mashtaka mbele ya Baraza la Seneti dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Do...
BIDEN ARUHUSU WALIOBADILI JINSIA KUHUDUMU JESHINI
Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi. Marufuku hiyo ...
RAIS AJITANGAZA HADHARANI KUAMBUKIZWA ‘CORONA’
RAIS wa Mexico, Andres Manuel Lopez Obrador, kupitia akaunti yake ya Twitter ametangaza kupata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Covid-19...
BABA ANASWA ‘LIVE’ AKIMBAKA MWANAYE WA MIAKA 11
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili m...
WANAODAIWA MAJAMBAZI SUGU WANASWA
JESHI la Polisi Mkoani Tanga limewakamata watu wanne wanaodaiwa kuwa ni Majambazi sugu waliokuwa wakitafutwa kwa muda mrefu katika wilaya ya...
RAIS JOE BIDEN KUZIPIGA STOP NCHI HIZI KUINGIA NCHINI MAREKANI
Rais wa Marekani Joe Biden leo anatarajiwa kutangaza marufuku ambayo itawazuia kuingia Marekani Raia ambao sio Wamarekani kutoka Uingereza...