RAIS wa Marekani Joe Biden amezunguza kwa njia ya simu na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, na kujadili masuala kadhaa ikiwemo mkataba wa k...
KAKAKUONA AONEKANA MVOMERO, ATABIRI NEEMA
MNYAMA Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero ambapo Viongozi wa Kimila na Kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwak...
NDUGULILE AJIKITA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU NA DATA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali kupitia Wizara yake inashirikiana na wadau wa se...
VIDEO: WEZI WA NYANYA ZA UMEME ZA TANESCO WAKAMATWA “WANAENDA KUUZA KIWANDANI”
Polisi Kigoma wanawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za wizi wa nyaya za umeme mali ya TANESCO zenye thamani ya Tsh. Milioni 24 wanazotuhum...
THOMAS TUCHEL AKABIDHIWA ‘FUPA’ LILILOMSHINDA LAMPARD
Klabu ya Chelsea imemtangaza meneja kutoka nchini Ujerumani Thomas Tuchel kuchukua jukumu la kuwa mkuu wa Benchi la Ufundi la klabu hiyo ina...
WAFUGAJI, WAFANYABIASHARA WAILILIA SERIKALI VIFO VYA NGURUWE (+PICHA)
Wafugaji na wafanyabiashara wa nguruwe na mazao yake wanaofanya shughuli zao Wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kuendele...
ANASWA AIRPORT AKISAFIRISHA SHEHENA YA VINYONGA
MWANAMME mwenye umri wa miaka 56 ambaye hakutambuliwa zaidi amekamatwa na mamlaka nchini Austria katika uwanja wa ndege wa Vienna akiwa an...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA SHAMBA LA MITI WILAYANI CHATO MKOANI GEITA
RAIS Dkt John Magufuli, leo Januari 27, anazindua shamba la miti lililopo wilayani Chato mkoani Geita.
WAZIRI MWAMBE ATOA ONYO MAWAKALA KUPANDISHA BEI YA MAFUTA
Serikali imesema itawafutia leseni wafanyabiashara wote watakaongeza bei ya mafuta ya kula tofauti na bei halisi inayoendana na ghrama za ...