Timu ya Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) imetoka kwenye karantini katika mji wa Wuhan nchini China ili kuanza uchunguzi wake wa ...
MOSTAFA MOHAMED KUTIMKIA GALATASARAY
Klabu ya Zamalek SC ya MIsri imethibitisha kuwa mshambuliaji wao nyota, Mostafa Mohamed yuko katika hatua nzuri za kujiunga na miamba ya j...
BUMBULI: NILILIPA FAINI NA PAY SLIP NILIPELEKA TFF
Baada ya kuadhibiwa na Shiriksho la soka nchini TFF kupitia kamati za Maadili na Nidhamu kwa kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na masual ya...
BIDEN KUSITISHA MAUZO YA SILAHA UAE NA SAUDI ARABIA
Utawala wa Rais Joe Biden umesitisha kwa muda uuzaji wa silaha kwa mataifa ya Ghuba. Hatua hii inazuia mabilioni ya dola kwa mauzo ya sila...
WAZIRI BASHUNGWA: KARIBUNI TUBURUDIKE TAMASHA LA SERENGETI DODOMA
Tamasha la pili la Muziki nchini la Serengeti (Serengeti Music Festival) linatarajiwa kufanyika Februari 06, 2021 Uwanja wa Jamhuri jijini D...
SENZO ATAJA SABABU YA KUMPA UKOCHA NIZAR
MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mazingisa amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya timu il...
TFF YASAINI MKATABA WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA
SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) limesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maendeleo ya kukuza miundombinu ya soka na Chuo ch...
JPM AIPANDISHA HADHI KAHAMA
RAIS John Magufuli ameipandisha hadhi Halmashauri ya Kahama Mji kuwa Manispaa ambapo sasa Kahama Mji itajulikana kama Manispaa ya Kahama. ...
NEMC MSIFANYE KAZI YA UPOLISI – WAZIRI UMMY MWALIMU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea na kujadili taarif...
MAJALIWA AFANYA KIKAO NA MACHINGA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Alhamisi, Januari 28, 2021 amefanya kikao na Viongozi wa Wamachinga Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Ki...
WHO YAITAKA TANZANIA KUJIANDAA KUPOKEA CHANJO YA CORONA
IKIWa ni siku moja tu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kutaka Wizara ya Afya kutokukimbilia chanjo ya Coron...
MWALIMU WA KIKE JELA KWA KUFANYA NGONO NA MWANAFUNZI WAKE
MWALIMU ambaye ni mke wa mtu amekutwa na hatia baada ya kukutwa na hatia ya kumshawishi mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 15 kuj...
SERIKALI YASEMA UZALISHAJI WA SUKARI UMEONGEZEKA KWA MIAKA MITANO
Waziri wa Kilimo. Prof. Adolf Mkenda amesema, Uzalishaji wa Sukari umeongezeka kutoka tani 295,775 mwaka 2015/2016 hadi tani 377,527 zinazot...
WAZIRI UGANDA ASHINDWA ELEZA WALIPOPELEKWA WALIOKAMATWA NA WANAJESHI
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema, anashindwa kueleza mahali walipopelekwa watu waliochukuliwa na Wanajeshi k...
MKURUGENZI WHO KUKUTANA NA MAWAZIRI WA AFRIKA
Mawaziri wa Afya na Fedha wa Bara la Afrika wanatarajia kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Dk. Tedros Ghebreyes...
AMUUA MKEWE KWA KUMTWANGA NA MTWANGIO
Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Paulina Daud (30) mkazi wa Mageuzi kata ya Ndembezi Manispaa ya Shinyanga amefariki dunia baada ya...
VIDEO: MAGUFULI AMSAMEHE MKURUGENZI ALIENUNUA GARI LA MILIONI 400
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameipandisha hadhii Halmashauri ya Kahama Mji kuwa Manispaa ambapo sasa Ka...