Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji Leseni za Maudhui Mtandaoni kuanzia Januari 28 hadi Juni 30 2021. Hayo ...
MECHI ZA VIPORO VYA SIMBA NA NAMUNGO FEBRUARI 4
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo amesema, wamejipanga kwa ajili ya mzunguko wa pili wa VPL utakaporejea pamoja na ushindani mk...
WATU 80 WAKAMATWA KWA KUTENGENEZA CHANJO YA CORONA FEKI
Watu 80 wanashikiliwa na Polisi Nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na Chanjo ya Corona Virus kwa kuweka maji yenye chumvichumvi t...
BIDEN ATISHIA KURUDISHA VIKWAZO MYANMAR
Rais wa Marekani, Joe Biden ametishia kuirejeshea Myanmar vikwazo baada ya Jeshi la Nchi hiyo kuchukua madaraka, huku likikataa kukubali mat...
WIZARA YA KILIMO KUANZISHA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa wapo katika mchakato wa kufungua kituo cha huduma kwa wateja ‘Customer Service Center’...
SUDAN KUSINI YARUDISHA NYUMA MAJIRA YA MUDA WAKE
NCHI ya Sudan Kusini imerudisha nyuma muda wake kwa saa moja nyuma. Waziri wa Ajira, Bi. Mary Hillary Wani amethibitisha muda mpya utaanza k...
SERIKALI YAPELEKA KIVUKO CHA BILIONI 5.3 MAFIA NYAMISATI
Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), leo imerejesha furaha na matumaini kwa wakazi wa Mkoa wa Pwani wanaoishi kisiw...
WABUNGE 19 WALIOTIMULIWA CHADEMA WATUA BUNGENI – VIDEO
WABUNGE 19 wa viti maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wan...
LIVE: UAPISHO WA JAJI ZEPHARINE NYALUGENDA GALEBA KUWA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji mteule Zepharine Nyalugenda Galeba kuwa Jaj...
“BIDHAA ZAIDI YA 2,000 ZINA VIWANGO, WAJE TUWAPE ALAMA YA UBORA” MKURUGENZI TBS
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la viwango Tanzania (TBS) Dkt. Yusuph Ngenya amezindua mafunzo ya siku tano ya uandaaji wa viwango shirikishi i...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WAMILIKI WA MAKAMPUNI BINAFSI “TUMIENI WELEDI”
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Jukwaa la Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi nchini (CEOrt) kushirikiana ...
“KISWAHILI KUTUMIKA KATIKA MASUALA YA MAHAKAMA WAKATI UMEFIKA” JPM
“Wakati umefika wa kuanza kuweka mikakati ya lugha ya Kiswahili kutumika katika masuala ya Kimahakama na Kisheria katika ngazi zote, Kiswahi...
MSAJILI VYAMA VYA SIASA AWAONYA UPINZANI “2021 MUWE WAZALENDO”
Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amemuagiza Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, kwamba akawaambie wapinzani...
VIDEO: WIZARA YA AFYA HAINA MPANGO KUPOKEA CHANJO YA COVID19
Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. ...
ALIEMUUA MKWEWE BILA KUKUSUDIA AHUKUMIWA ASINYWE POMBE MIEZI 12
Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma, imemuachia huru Boniphace Kachila, mkazi wa Kijiji cha Kiyungwe, Kasulu mkoani humo kwa sharti la kutokutend...