CHANJO dhidi ya Covid-19 imeanza kutolewa nchini Rwanda kwa wahudumu wa afya, wizara ya afya imetangaza. Afisa wa wizara ya afya ameiamb...
Divine Radio Live
BABA YAKE NICKI MINAJ AFARIKI DUNIA
BABA mzazi wa rapa Onika Tanya Maraj maarufu Nicki Minaj, Robert Maraj (64), amefariki dunia akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu...
PIGO: WANNE FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA MAZINGIRA TOFAUTI
FAMILIA ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Profesa Delphina Mamiro, imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza watu wanne, aki...
WAFANYABIASHARA WALIA NA MZUNGUKO MDOGO WA FEDHA
Wafanyabiashara katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wamesema mkakati wa makusudi unahitajika ili kuhamasisha watu kuwekeza w...
WAFARIKI DUNIA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI KAHAMA
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuangukiwa kifusi cha udongo kwenye machimbo ya kijiji cha Mwime duara namba 11C kata ya Zongomela wil...
POULSEN APEWA MIKOBA YA NDAYIRAGIJE STARS
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo Februari 15, limemteua Kim Poulsen, raia wa Denmark, kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa (Taifa...
AJALI BASI LA COAST LINE, WATANO WALAZWA, 16 WARUHUSIWA
Majeruhi wa ajali ya basi la kampuni ya Coast Line lililokuwa likitoka Arusha kwenda Musoma wamelazwa hospitali ya Nyerere huku 16 wakitib...
MBWA ARITHI TSH BILIONI 1.1
Mbwa mmoja amerithi fedha dola milioni 5 ( sawa na Tsh bilioni 1.1 ) kutoka na mmiliki wake aliyefariki katika jimbo la Tennessee, nchini ...
NAMUNGO YASHINDWA KUREJEA TANZANIA
KIKOSI cha Namungo FC kimerejea hotelini usiku wa kuamkia Februari 14 baada ya kushindwa kuondoka jijini Luanda, Angola kurejea Tanzania ik...
KCMC YAFUNGUKIA MGOMO WA MADAKTARI
Hospitali ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro kupitia kwa msemaji wake Gabriel Chiseo, imeweka wazi kuwa hakuna mpango wa kugoma kwa madaktari kwe...
MWENYEKITI WA BBI KENYA AFARIKI DUNIA
Seneta wa Garissa nchini Kenya, Mohamed Yusuf Haji (80) amefariki dunia katika hospitali ya Aga Khan, mjini Nairobi ambako alikuwa anapati...
MYANMAR JESHI LATANDA MITAANI, INTANETI YAZIMWA
Magari ya kivita yametanda katika mitaa ya miji kadhaa nchini Myanmar huku kukiwa na ishara kwamba wanajeshi wanaandaa msako dhidi ya wale w...
WAKILI WA UINGEREZA ACHAGULIWA KUWA MWENDESHA MASHITAKA WA ICC
Wakili wa ngazi ya juu wa Uingereza amechaguliwa kuwa mwenesha mashitaka Mkuu ajaye wa mahakama ya kimataifa ya jinai (ICC). Karim Khan, m...
WAZIRI WA ZAMANI MUHAMMED SEIF KHATIB AFARIKI
Aliyekuwa Waziri wa Habari na Mbunge wa Uzini, Zanzibar Muhammed Seif Khatib amefariki dunia leo Februari 15,2021. Mwanasiasa Dk Muhammed ...
WATUMISHI 16 WALIOHODHI VIZIMBA SOKO KUU MOROGORO YAWAKUTA
Wafanyabiashara katika Soko la Chifu Kingalu walilalamika kwa Rais Magufuli kuwa wanauziwa vizimba kwa bei isiyo ya Manispaa na baadhi ya wa...
CHINA YAGOMA KUTOA DATA ZA COVID KWA WHO
China imekataa kutoa data muhimu kwa timu ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) inayochunguza asili ya Covid-19, mmoja wa wanachama wake al...
LIBERIA YATANGAZA HALI YA TAHADHARI MLIPUKO WA EBOLA
RAIS wa Liberia George Weah ametangaza kuziweka mamlaka za afya za nchi hiyo katika kiwango cha juu cha tahadhari baada ya watu wanne kuf...
HAYA NDIYO MAJESHI YENYE NGUVU KUBWA ZAIDI DUNIANI
JARIDA la kimataifa la ‘Firepower’ ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya mataifa 138...
WAFANYABIASHARA WA SENENE WATAKIWA KUSAJILI TBS
Shirika la viwango Tanzania (TBS) limewashauri wafanyabiashara wa senene mkoani Kagera kusajili bidhaa hiyo katika shirika hilo ili kuonge...