Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro wameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usi...
UPEPO MKALI WAONDOKA NA NYUMBA ZA FAMILIA, MAJENGO YA SHULE
FAMILIA sita katika Kijiji cha Namanguli Kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma, zimekosa makazi baada nyumba zao kuezuliwa na ...
APIGWA RISASI YA MGUU AKIDHANIWA NYANI
Tatu Bakari Hassan, mkulima mwenye miaka 55 mkoani Pwani, amejeruhiwa mguu wake wa kulia kwa kupigwa risasi akiwa shambani kwake baada ya ...
POLISI WAELEZA SABABU ZA KUMSHIKILIA ASKOFU MWAMAKULA
Askofu Emmaus Mwamakula wa Kanisa la Uamsho la Moravian Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Askofu Emmaus Mwamakula...
TATIZO LA UPUMUAJI LAWAIBUA MADAKTARI
Rais wa MAT, Dk Shadrack Mwaibambe Mwenendo wa ugonjwa unaosababisha changamoto ya upumuaji umewaibua madaktari ambao wamesema kumekuwa na o...
DED KOROGWE AFARIKI DUNIA
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Korogwe mkoani Tanga nchini Tanzania, Kwame Daftari amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ ya jijini ...
BREAKING: WAZIRI LUKUVI ASIMAMISHA UJENZI COCO BEACH, AVUNJA UZIO MWENYEWE
WAZIRI wa Ardhi, William Lukuvi, leo Februari 16, amefika Coco Beach na kukuta ujenzi wa kiwanja ukiendelea kinyume na sheria na kuamua ku...
WHO KUPELEKA CHANJO YA COVID -19 KWA MATAIFA MASKINI
Shirika la Afya duniani(WHO) limeridhia chanjo dhidi ya virusi vya corona ya AstraZeneca kuanza kupelekwa kwenye mataifa masikini, baada ya ...
WATU 60 WAFARIKI CONGO BAADA YA BOTI KUZAMA
Maafisa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema zaidi ya watu 60 wamezama baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama ka...
VIDEO: WATATU WASHIKILIWA NA POLISI KWA MAUAJI YA WANAWAKE ARUSHA,YUPO MGANGA
Jeshi la polisi mkoani Arusha limewakama mtandao wa watuhumiwa watatu wa mauaji ya matukio ya wanawake mkoani Arusha ambayo yamekuwa yakif...
VIDEO: MAAFISA TBS WALIOTAKA RUSHWA YA MILIONI 100 WASIMAMISHWA KAZI, TAKUKURU WAWAKAMATA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe, ameiagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwasimamisha kazi watumishi watatu wa shi...
WATU 60 WAKAMATWA KWA KUTENGENEZA GONGO
Watu 60 wakazi wa Wilaya ya Rombo wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanajaro kwa tuhuma za utengenezaji wa pombe haramu ya gongo n...
MUHIMBILI WATOA UFAFANUZI BAADA YA VITANDA KUONEKANA NJE
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa huwa inao utaratibu wa kupuliza dawa ya kuuwa wadudu karibu maeneo yote ya hospitali na kwamba wak...