Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe MagufuliI amepokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa ...
BREAKING: MAALIM SEIF AFARIKI DUNIA, RAIS MWINYI ATANGAZA MAOMBOLEZO
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais, aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 a...
KOREA KASKAZINI YANASWA IKIIBA DATA ZA UTENGENEZAJI WA CHANJO YA CORONA
Korea Kaskazini imenaswa ikijaribu kuiba teknolojia inayotumika kutengeneza chanjo ya virusi vya corona kutoka kampuni ya utengenezaji daw...
“NASISITIZA HIZI NI ZAMA ZA KAZI SIO KIKI” HASSAN ABBASI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa msimamo kuwa Serikali haitapoteza muda na Wasanii...
LIVE: ASKOFU MWAMAKULA ANATOA KAULI BAADA YA KUSHIKILIWA NA KUACHILIWA HURU NA POLISI
CGRA PRAISE TEAM - WEWE NI BWANA
RAIS JPM ATENGUA UTEUZI WA DED KINONDONI
RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Uteuzi wake umet...
NAMUNGO, WAANGOLA MECHI ZOTE KUCHEZWA TANZANIA
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya CD 1 Agosto ya Angola na Namungo FC ya ...
REKODI ZAIBEBA YANGA SC DAR LEO
JESHI la Mrundi Cedric Kaze leo linatarajiwa kushuka kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuvaana na Kagera Sugar katika mchezo wa ...
VIDEO: AL AHLY YAITUNGUA EL MERREIKH 3-0
MABINGWA Watetezi wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Al Ahly, ambao wapo kundi moja na Simba SC wakiwa nyumbani wameibuka na ushindi wa ma...
ZUMA KUSHTAKIWA KWA KUDHARAU MAHAKAMA
Mwenyekiti wa tume ya uchunguzi kuhusu madai ya rushwa yanayomkabili aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amesema anataka kiongozi...
VIDEO: TCRA WAZIPIGA FAINI KAMPUNI ZA SIMU, WATOA SIKU 90
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni za Simu za Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel kwa kutotoa huduma zenye ubora.