Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC leo itakosa huduma ya nahodha na mshambuliaji, John Bocco ambaye ni majeraha pamoja na kiungo Jonas ...
TELEVISHENI YAFUNGIWA KWA KUKIUKA MAOMBOLEZO YA MAALIM SEIF
Tume ya Utangazaji Zanzibar imekifungia kituo cha televisheni cha Tifu kwa muda wa siku saba baada ya kudaiwa kurusha vipindi vinavyokwend...
MAALIM SEIF KUZIKWA LEO PEMBA
Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad utazikwa leo Alhamisi Februari 18, 2021 mjini Pemba, Zanzibar.
A.Y AFANYA MAZUNGUMZO NA BABA YAKE RIHANNA
Safari ya A.Y nchini Marekani imeendelea kutuacha na maswali kichwani, alianza kwa kutuonesha akiwa na waigizaji wakali wa Hollywood, R...
MAAMBUKIZI YA COVID-19 YAMEPUNGUA DUNIANI
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limesema kwamba idadi ya visa vipya vya virusi vya corona vimepungua kwa asilimia 16 ulimwenguni wiki iliyo...
BARAZA LA MAASKOFU (TEC) LATOA WITO WA KUHESHIMIANA
BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasab...
BALOZI KIJAZI AFARIKI DUNIA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. Dkt. John Kijazi kilichotokea leo (jana) Februari 17, ...
MAOMBOLEZO SIKU SABA ZANZIBAR, TANZANIA SIKU TATU KUFUATIA KIFO CHA MAALIM SEIF
Kufuatia kifo cha Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi ametangaza siku sa...
UJUMBE WA ZITTO KABWE KUFUATIA KIFO CHA MAKAMU WA KWANZA RAIS ZANZIBAR MAALIM SEIF
NI kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais ambae alifariki Jumatano saa 5:00 asubuhi katika Hospitali ya T...