} });
 
LIVE: WAZIRI WA AFYA AKIZUNGUMZA NA VYOMBA VYA HABARI MCHANA HUU
LIVE: WAZIRI WA AFYA AKIZUNGUMZA NA VYOMBA VYA HABARI MCHANA HUU

Read more » Soma zaidi »

SAUDIA YAKANUSHA BIN SALMAN KUHUSIKA NA KIFO CHA KHASHOGGI
SAUDIA YAKANUSHA BIN SALMAN KUHUSIKA NA KIFO CHA KHASHOGGI

Saudi Arabia  imekanusha vikali ripoti ya kijasusi iliyotolewa na Marekani ikifichua kuwa mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo Mohammed bi...

Read more » Soma zaidi »

BIDEN KUTOA TAMKO KUHUSU SAUDI ARABIA
BIDEN KUTOA TAMKO KUHUSU SAUDI ARABIA

  Rais wa Marekani Joe Biden amesema leo Jumatatu, Machi 1, Serikali yake itatoa tamko juu ya Saudi Arabia kufuatia ripoti ya kijasusi ya Ma...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP AONESHA DHAMIRA YA KUWANIA TENA URAIS UCHAGUZI MKUU MWAKA 2024
TRUMP AONESHA DHAMIRA YA KUWANIA TENA URAIS UCHAGUZI MKUU MWAKA 2024

Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania t...

Read more » Soma zaidi »

WATU WASIOJULIKANA WATEKA NYARA WASICHANA SHULE YA UPILI HUKO NIGERIA
WATU WASIOJULIKANA WATEKA NYARA WASICHANA SHULE YA UPILI HUKO NIGERIA

  Watu wasiojulikana wameshambulia Shule ya Upili ya Wasichana wilayani Jangebe na kuwateka nyara wasichana huku wengine wakifanikiwa kutoro...

Read more » Soma zaidi »

LIVE​: RAIS WA ZANZIBAR USO KWA USO NA WAANDISHI WA HABARI
LIVE​: RAIS WA ZANZIBAR USO KWA USO NA WAANDISHI WA HABARI

Read more » Soma zaidi »

JOGOO AMUUA MMILIKI WAKE KWA KUMCHOMA KISU
JOGOO AMUUA MMILIKI WAKE KWA KUMCHOMA KISU

MTU mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini mwa Indi...

Read more » Soma zaidi »

FC PLATINUM YAMTAKA LUIS MIQUISSONE
FC PLATINUM YAMTAKA LUIS MIQUISSONE

DENZIL Mkandla, meneja wa wachezaji wa Klabu ya FC Platinum ya Zimbabwe amesema kuwa mpango mkubwa wa kwanza katika usajili ni kupata saini ...

Read more » Soma zaidi »

WANASWA NA VIPANDE 13 VYA MENO YA TEMBO WAKISAKA WATEJA
WANASWA NA VIPANDE 13 VYA MENO YA TEMBO WAKISAKA WATEJA

  Kikosi maalum ya kupambana na ujangili katika eneo la ikolojia ya Tarangire – Manyara, kimewakamata watu wawili katika kijiji cha Moyaka w...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI YAIDHINISHA CHANJO MPYA YA CORONA
MAREKANI YAIDHINISHA CHANJO MPYA YA CORONA

  TAIFA la  Marekani jana Februari 28 imeidhinisha chanjo ya kampuni ya Jonhson & Johnson kwa matumizi ya dharura, na kuipatia nchi hiyo...

Read more » Soma zaidi »

ACT- WAZALENDO WAPATA MRITHI WA MAALIM SEIF
ACT- WAZALENDO WAPATA MRITHI WA MAALIM SEIF

  KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tayari wameshapendekeza jina la mrithi wa majukumu ya Marehemu Maalim Seif kwa Ra...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATATU 01 MACHI, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMATATU 01 MACHI, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top