BRAZIL imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Covid-19 kwa siku baada ya watu 1,641 kufariki kwa ugonjwa huo.
GWIJI WA REGGAE, SWAHIBA WA BOB MARLEY AFARIKI DUNIA
MWANAMUZIKI huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob Marley. ...
MAMA, MWANAYE WAKUTWA WAMEKUFA GESTI
IRENE Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa wamekufa katika nyu...
KIKONGWE WA MIAKA 77 AFIA KISIMANI
MZEE mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha, baada ya kutu...
KENYA YAPOKEA SHEHENA YA CHANJO YA COVID-19
Shehena ya chanjo ya Covid-19, dozi milioni 1.02 za Oxford-AstraZeneca imetua katika uwanja wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya, ...
MIMI MARS: VANESSA MDEE ARUDI BONGO KUNA NINI
Vanessa Mdee arudi bongo kuna nini, hilo ni jibu ambalo amelitoa msanii Mimi Mars baada ya kuulizwa kuhusiana na dada yake Vanessa Mdee ...
WAANDISHI WAMSHTAKI MWANAMFALME
Taasisi ya Waandishi Wasio na Mipaka (RSF) imefungua kesi ya uhalifu katika Mahakama ya Ujerumani dhidi ya Mwanamfalme Mohammed bin Salman y...
WHO “HAKUNA DALILI ZA CORONA KUMALIZIKA 2021”
Nchi mbalimbali zinapambana kuhakikisha raia wake wanapata chanjo ya Covid-19 wakati janga la virusi vya Corona likiendelea. Shirika la af...
VIDEO: WAZIRI MPANGO AREJEA KAZINI “AFYA YANGU IMEIMARIKA”
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango amerudi rasmi kazini baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa katika Hospitalini Dodoma……. vi...
“MGAO WA UMEME UISHE, MATENGENEZO YAKAMILIKE” WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, ametoa siku tatu kwa Kampuni ya Kufua umeme ya Songas kuhakikisha uzalishaji umeme wa Megawati 180...
ZAIDI YA VIFARANGA MILIONI 21 VYA SAMAKI VIMEZALISHWA TZ
Serikali imesema katika mwaka 2020 jumla ya vifaranga 21,676,187 vya samaki vimezalishwa kutoka katika vituo vya serikali na vya binafsi....
VIDEO: FISI 22 WAMEUAWA, WAMEUA WATU WATANO, MAMA ASIMULIA MWANAE ALIVYOLIWA
Hiki ni kisa cha Mama Elizabeth mkazi Wilayani Nyang’wale ambae anaeleza jinsi ambavyo fisi walifika nyumbani kwake na kumbeba Mtoto wake...
USTADHI SELEMANI AHUKUMIWA MIAKA 20 KWA UDHALILISHAJI KINGONO MTOTO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Lindi, imemuhukumu mkazi wa Kata ya RahaLeo, Ustaadhi Selemani Ally (58) kutumikia kifungo cha...