} });
 
MBARONI KWA KUKUTWA NA LITA 73 ZA GONGO
MBARONI KWA KUKUTWA NA LITA 73 ZA GONGO

Wafanyabiashara wawili wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na pombe ya kienyeji aina ya gongo yenye ujazo...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA YAIANDIKIA CAF BARUA SAKATA LA AL-MERRIKH
SIMBA YAIANDIKIA CAF BARUA SAKATA LA AL-MERRIKH

  Klabu ya Simba  kupitia kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wake, Barbara Gonzalez, imesema imeliandikia barua Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CA...

Read more » Soma zaidi »

SIMBA WAMSHAMBULIA NA KUMUUA AFISA WA WANYAMAPORI AFRIKA KUSINI
SIMBA WAMSHAMBULIA NA KUMUUA AFISA WA WANYAMAPORI AFRIKA KUSINI

Mtu mmoja amefariki baada ya kushambuliwa na simba wawili katika hifadhi ya wanyama nchini Afrika Kusini, mamlaka zimesema siku ya Jumatatu....

Read more » Soma zaidi »

WANANCHI WAONYWA KUCHUKUA MCHANGA KABURI LA MAALIM SEIF
WANANCHI WAONYWA KUCHUKUA MCHANGA KABURI LA MAALIM SEIF

  Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib ametoa onyo kwa watu wanaochukua mchanga wa kaburi la Marehemu Maalim Seif Sharif H...

Read more » Soma zaidi »

ALBERT EINSTEIN ALIWAHI KUULIZWA AKILI NI NINI? JIBU LAKE HILI HAPA HAKIKA LITAKUSHANGAZA
ALBERT EINSTEIN ALIWAHI KUULIZWA AKILI NI NINI? JIBU LAKE HILI HAPA HAKIKA LITAKUSHANGAZA

Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa d...

Read more » Soma zaidi »

MVUVI ALIYEMLA NYAMA SAMAKI MWENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 6 BILA KUJUA
MVUVI ALIYEMLA NYAMA SAMAKI MWENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 6 BILA KUJUA

Shirika la habari la @cnbc limeripoti kuwa mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Bl...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MEGHAN NA HARRY WAFICHUA ‘UBAGUZI WA RANGI’ NDANI YA UFALME WA UINGEREZA
VIDEO: MEGHAN NA HARRY WAFICHUA ‘UBAGUZI WA RANGI’ NDANI YA UFALME WA UINGEREZA

  Mahojiano yaliyosubiriwa kwa hamu ya Duke na Duchess wa Sussex waliyoyafanya na Oprah Winfrey yametangazwa katika vyombo vya habari vya Ma...

Read more » Soma zaidi »

KAULI YA KAZE BAADA YA KUTIMULIWA YANGA
KAULI YA KAZE BAADA YA KUTIMULIWA YANGA

  WIKI iliyopita kuliibuka tetesi kuwa Klabu ya  Yanga itaachana na kocha wake raia wa Burundi, Cedric Kaze endapo timu hiyo itashindwa kuen...

Read more » Soma zaidi »

SHUJAA WA KENYA WESTGATE AIDHINISHWA KUWA SENETA
SHUJAA WA KENYA WESTGATE AIDHINISHWA KUWA SENETA

Mfanyabishara Abdul Haji, aliyepata umaarufu kwa kukabiliana na wanamgambo waliovamia duka la Westgate katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, mw...

Read more » Soma zaidi »

MUTAFUNGWA AWATAKA MADEREVA BODABODA KUFUATA SHERIA ZA BARABARANI
MUTAFUNGWA AWATAKA MADEREVA BODABODA KUFUATA SHERIA ZA BARABARANI

  Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP Wilbroad Mutafungwa amewataka madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda kote nchi...

Read more » Soma zaidi »

DR. MOLLEL AWATUMBUA WATUMISHI WATATU WA IDARA YA AFYA NGARA
DR. MOLLEL AWATUMBUA WATUMISHI WATATU WA IDARA YA AFYA NGARA

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.Godwin Mollel amewasimamisha kazi watumishi watatu wa idara ya afya w...

Read more » Soma zaidi »

RAIS WA NIGERIA NA MAKAMU WAKE WAPATIWA CHANJO YA CORONA
RAIS WA NIGERIA NA MAKAMU WAKE WAPATIWA CHANJO YA CORONA

  Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na Makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wana...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 09 MACHI, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 09 MACHI, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top