Mkazi mmoja wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na laini 74 za kampuni mbalimbali za sim...
GWAJIMA: WANAUME WENGI WANAUGUA FIGO
Imelezwa kuwa wanaume wapo katika hatari kubwa ya kuugua Ugonjwa wa Figo unaotokana na Kisukari na Presha ukilinganisha na Wanawake. Kau...
MALYASIA: WAKRISTO RUKSA KUTUMIA JINA ‘ALLAH’
Mahakama ya Malyasia imebadilisha sera inayopiga marufuku watu wa dini ya Kikristo kutumia jina ‘Allah’ kumaanisha Mungu, ikiwa ni hatua y...
UGANDA YAANZA KAMPENI YA CHANJO YA COVID-19
Uganda imeanza kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 siku ya Jumatano baada ya kupokea dozi 864,000 ya chanjo aina ya Oxford-AstraZ...
RAILA ODINGA AWATOA HOFU WAKENYA “NIKO FITI”
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema hali yake ni nzuri na anafuata ushauri wa madaktari kwa kupumzika. Odinga alifan...
WALIOMTEKA MCHINA ARUSHA WAKAMATWA DAR
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumteka mtu mmoja raia wa China ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya...
“UCHUMI UKO IMARA NA UNAKUA” DK. MPANGO
“Pamoja na changamoto mbalimbali zilizoikumba Dunia ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa im...
“DENI LA SERIKALI NI HIMILIVU” DK. MPANGO
“Hadi December 2020, deni la Serikali lilikuwa Tsh.Trilioni 59.0, sawa na ongezeko la 7.6% ikilinganishwa na Tsh.Trilioni 54.8 kipindi kam...