} });
 
ALIYEMUUA MUMEWE AHUKUMIWA JELA SIKU 1, MWENYEWE ASHANGAA
ALIYEMUUA MUMEWE AHUKUMIWA JELA SIKU 1, MWENYEWE ASHANGAA

MWANAMKE mmoja kutoka Kaunti ya Siaya ambaye ameingia kwenye headlines kwa kufungwa jela kwa siku moja baada ya kukutwa na kosa la kumuua mu...

Read more » Soma zaidi »

MAMA DANGOTE AMUWAKIA SHILOLE “USIRUDIE TENA”
MAMA DANGOTE AMUWAKIA SHILOLE “USIRUDIE TENA”

IKIWA ni siku moja baada ya msanii wa  Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’   kumchukua dada aliyedai kuwa ni shabiki wa  Msanii Diamond P...

Read more » Soma zaidi »

WACHEZAJI 8 WA AL MERREIKH WAKUTWA NA CORONA
WACHEZAJI 8 WA AL MERREIKH WAKUTWA NA CORONA

  Wachezaji nane (8) wa Klabu ya Al Mereikh ya nchini Sudan wamegundulika kuwa na maambukizi ya Virusi vya Corona mara baada ya kufanyiwa vi...

Read more » Soma zaidi »

NJOMBE: VYOMBO VYA IBADA VYAIBIWA PAROKIANI
NJOMBE: VYOMBO VYA IBADA VYAIBIWA PAROKIANI

  Vifaa vya vitumikavyo kwenye ibada, vilivyokuwa vimechukuliwa na watu wasiojulikana Parokiani Wanging’ombe mkoani Njombe, vimepatikana vyo...

Read more » Soma zaidi »

SAKATA LA BANDARI KUU YA KENYA KUCHUKULIWA NA WACHINA
SAKATA LA BANDARI KUU YA KENYA KUCHUKULIWA NA WACHINA

Waziri wa Fedha wa Kenya, Ukur Yatani, amepinga ripoti zinazoashiria kwamba bandari kuu ya nchini Kenya huenda ikachukuliwa na China ikiwa i...

Read more » Soma zaidi »

LIVE | SIMBA SC VS EL MERRIKH SC (2-0) UWANJA WA BENJAMIN MKAPA - CAF CL 16/03/2021
LIVE | SIMBA SC VS EL MERRIKH SC (2-0) UWANJA WA BENJAMIN MKAPA - CAF CL 16/03/2021

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA YAANZISHA KITUO CHA KUSHUGHULIKIA NDOA
MAHAKAMA YAANZISHA KITUO CHA KUSHUGHULIKIA NDOA

  Mahakama ya Tanzania imeanzisha kituo jumuishi kitakachoshugulikia mashauri ya mirathi, ndoa na familia, Mkoa wa Dar es Salaam, ili kuweze...

Read more » Soma zaidi »

MZEE ALIEVAMIA BANK KUIBA DOLA 1 ILI AFUNGWE
MZEE ALIEVAMIA BANK KUIBA DOLA 1 ILI AFUNGWE

Timothy Dean Alsip (50) wa Oregon Marekani aliwahi kuvamia Bank na kufanya tishio la kutaka kupora USD 1 (Tsh. 2319) alifanya hivyo makusudi...

Read more » Soma zaidi »

BOBI WINE AKAMATWA UGANDA
BOBI WINE AKAMATWA UGANDA

  Mwanasiasa wa Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Chama cha Upinzani, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa katika ...

Read more » Soma zaidi »

HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 16 MARCH, 2021
HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE 16 MARCH, 2021

Read more » Soma zaidi »
 
Top