Health Chief Administrative Secretary Mercy Mwangangi giving the daily briefing on Covid-19 on March 31, 2021. Kenya has recorded another 1,...
BEYONCE AVAMIWA NA MAJAMBAZI, WAONDOKA NA MZIGO WA MABILIONI
MSANII maarufu wa Marekani, Beyonce ni muhanga wa tukio la uvamizi, avamiwa na kuibiwa vitu vyenye thamani ya ($1 million) sawa na takribani...
MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO
D K Philip Isidor Mpango (63) ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano jana akateuliwa na kupitishwa n...
EU YAILAUMU WHO KUCHELEWA KUFUATILI CORONA
NCHI za Umoja wa Ulaya na Marekani na Japan, zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vy...
VIDEO: RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI
KUFUATIA Uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, R...
ANASWA AKISAFIRISHA KOBE 400 KWENYE MABEGI
Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja (jina linahifadhiwa) miaka 35 Mkurya mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa kosa la ...
KATTANGA ACHUKUA NAFASI YA DKT. BASHIRU IKULU
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua...
MWIGULU NCHEMBA ATEULIWA KUWA WAZIRI FEDHA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya D...
VIDEO: DKT. MPANGO AAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango, leo Jumatano Machi 31, 2021 ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ...
VIDEO: BABA AMUUA MAMA NA MWANAE NA KAJINYONGA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kufanya uchunguzi wa tukio la vifo vya watu watatu wa familia moja ambalo limetokea Wilaya ya Mul...
TIMU ZILIZOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA AFCON 2021 NCHINI CAMEROON
Weekend ya michezo ya kuwania kufuzu kucheza fainali za AFCON 2021 imemalizika kwa kushuhudia timu 23 tayari zikifuzu michuano hiyo, huku ...
WATANO WAHUKUMIWA KUNYONGWA NJOMBE
WASHTAKIWA watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa kijiji cha Usalule kilicho...
ESTER BULAYA "MAFUNZO YA SILAHA JKT WASIPEWE WOTE"
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya, ametoa wito kwa Serikali kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa Vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Je...
SHAMIM NA MUMEWE WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nse...
MBWA WA BIDEN AMNG'ATA TENA MTUMISHI IKULU
Mbwa wa Rais wa Marekani aitwaye Meja amemng’ata mtumishi mwingine wa Ikulu, siku chache tu baada ya kurudi kutoka mafunzoni Delaware ili as...
WATU SITA WAFARIKI DUNIA
Watu sita wamefariki dunia na wengine 19 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Machame Investment lililokuwa likitoka jijini Dodoma kwend...
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI NA MAKATIBU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Florencs Turuka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Chuo cha U...