Kansela Angela Merkel wa Ujerumani anaunga mkono kuimarisha hatua za kudhibiti kuenea virusi vya corona nchini kote kwa kipindi kifupi. Mse...
SERIKALI YASEMA TELEVISHENI ZA MTANDAONI TU NDIZO ZITAKAZOFUNGULIWA
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amefafanua taarifa ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa hivi karibuni kuhusu kufunguliwa kwa vyom...
PETER MSECHU AWACHANA WANAOMDHIHAKI MUONEKANO WAKE....ASISITIZA HIYO NI 'BRAND YAKE'
Msanii wa BongoFleva Peter Msechu amenyoosha maelezo kwa baadhi ya watu wanaomshambulia mitandaoni kuhusu muonekano wake kwa kusema hawezi...
JAFO: VIBALI BIASHARA VYUMA CHAKAVU VITOLEWE KWA MIAKA MITATU
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Suleiman Jafo ametoa agizo kuwa vibali vyote vya ukusanyaji, usafirishaji na u...
YANGA YATOA TAMKO KWA TFF ADHABU YA MWAKALEBELA
KLABU ya Yanga imepinga adhabu iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ya kumfungia Makamu Mwenyekiti wake, Fr...
HAWA HAPA VIJANA 10 MATAJIRI DUNIANI
Jarida la Forbes limetoa ripoti ya mabilionea wadogo zaidi kwa mwaka 2021 na kumtaja Kevin Lehmann, raia wa Ujerumani mwenye umri wa miak...
BEI YA PETROL NA DIESEL YAPANDA
Kutokana na ongezeko la bei katika Soko la Dunia na gharama za usafirishaji, bei za Mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa yanayoingia...
MAHARUSI WAKESHA UWANJA WA MPIRA KWA KUKIUKA MASHARTI YA CORONA
Picha na video za bibi na bwana harusi wakiwa pamoja na familia zao zimepigwa wakiwa wamekesha katika uwanja wa mpira katika siku ya harusi ...
DKT. ABBASI: HATUJAAGIZWA KUFUNGULIA MAGAZETI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maelezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia ...
“TUNAKUNG’UTA MAVUMBI, MAMA AMESEMA KAZI IENDELEE” SABAYA BAADA YA SIKU 21
“Leo tunafikia mwisho wa maombolezo ya kitaifa yaliyotangazwa na Rais wa Nchi Mama Samia Suluhu Hassan siku ya tarehe 17 March kutokana na k...