SERIKALI ya Brazil imetoa wito wanawake nchini humo kuacha kupata ujauzito angalau hadi baada ya kushuka kwa viwango vya maambukizo ya ugo...
CUBA KUTOKUWA NA KIONGOZI ANAYEITWA CASTRO
Baada ya miaka 62, Taifa la Cuba litaamka Jumatatu bila kuwa na Kiongozi wa Nchi anayeitwa Castro. Raúl Castro anatarajiwa kuachia Madarak...
WATU 30 TU KUSHIRIKI MAZISHI YA PRINCE PHILIP
Mazishi ya Mwanamfalme na mume wa Malkia wa Elizabeth II, Prince Philip yanafanyika leo huku watu 30 tu ndio wameorodheshwa kushiriki kwenye...
KANSELA MERKEL APATA CHANJO YAKE YA KWANZA YA ASTRAZENECA
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amepokea dozi yake ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona ya AstraZeneca. Merkel mwenye umri wa miaka...
MAREKANI IMETANGAZA VIKWAZO VIPYA DHIDI YA URUSI
Marekani imetangaza vikwazo dhidi ya Urusi ili kujibu kile inachosema ni mashambulio ya kimtandao na matendo mengine ya uadui. Hatua hizo, a...
“VIJANA WA TANZANIA SIO WAAMINIFU” SPIKA NDUGAI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai amesema suala la uaminifu linahitaji kujadiliwa kutokana na vijana watan...
LIVE: RAIS MHE. SAMIA SULUHU AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ 17 APRIL, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. Atawatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi wa Jeshi la Wananchi Tanzania. ...
BABA LEVO ALIMWA FAINI MIL 1 BASATA, NAYE ATAKA BIL 6 KWA HARMONIZE
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limempiga faini ya Tsh milioni moja msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo kwa kusambaza wimbo bila kuupeleka ...
RUTO AJITETEA KUPATA CHANJO YA SPUTNIK-V BADALA YA ASTRAZENECA
Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao ilivyoelekeza...
APPLE MUSIC YAFANYA JAMBO WASANII BORA WA GOSPEL AFRIKA
KAMPUNI ya muziki ya Apple imezindua kampeni yake inayokwenda kwa jina la Spirits Rejoice, yenye lengo la kusherehekea kazi za mastaa wa Muz...
DKT. ABBASI: ILIKUWA MIAKA MITANO YA KUTOKULALA KUISEMEA SERIKALI
Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, leo (jana) amekabidhi kijiti hicho kwa Ndugu Grayson Msigwa aliyeteuliwa hivi karibu...
KAMPUNI LESOTHO YARUHUSIWA KUUZA BIDHAA ZA BANGI ULAYA
Kampuni yenye makao yake nchini Lesotho imeruhusiwa kukuuza mazao ya bangi kwa ajili ya matumizi ya dawa kwa Muungano wa Ulaya. Kampuni h...
WAKAMATWA KWA KULA WAKATI WA MFUNGO WA RAMADHANI
WATU wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi Mtukufu wa Ram...
MKURUGENZI AANGUKA BAADA YA CHANJO YA ASTRAZENECA KUSITISHWA
KIONGOZI wa juu wa Shirika la Dawa nchini Denmark ameanguka na kupoteza fahamu wakati Serikali ikitangaza kusitisha kuwapa wananchi wake cha...
SVEN AWABURUZA SIMBA SC FIFA
Imeripotiwa kuwa Kocha wa zamani wa Simba SC Sven Vanderbroeck amaishitaki Club ya Simba SC FIFA kwa kutolipwa madeni yake. Sven anadai ku...
VIDEO: SPIKA AWAONYA WABUNGE WANAOTUMIA BODABODA KWENDA BUNGENI
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaonya baadhi ya wabunge kutumia usafiri wa bodaboda kwenda katika vikao vya Bunge mjini Dodoma ...
UTEUZI MPYA IKULU, RAIS SAMIA ATEUA 9 WAPYA, MKALIMANI NA WENGINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Juma Selemani Mkomi kuwa Katibu wa Rais (KR). Uteuzi huu u...