K OCHA wa makipa wa Simba, Mbrazil, Milton Nienov amefichua kuwa ni suala gumu kukubali kuondoka kwa kipa namba moja wa timu hiyo Aishi ...
AKAUNTI ZA BENKI ZA THRDC ZAFUNGULIWA
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema akaunti za benki za mtandao zilizofungwa kwa takribani miezi minane zimefun...
WASANII KUWEKA MAUDHUI YOUTUBE BILA KULIPA ADA YA LESENI TCRA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara yake, Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ...
ZAHERA AANZA KAZI SIMBA KIMYAKIMYA
T AARIFA za uhakika zinabainisha kwamba, aliyekuwa Kocha wa Yanga raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, tayari ameanza kazi ndani ya Klabu ...
JESHI LAVUNJA SERIKALI YA CHAD, MTOTO WA DEBY KUWA RAIS WA MPITO
Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa jana Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18, na Baraz...
MTENDAJI MKUU WA MAN UNITED ED WOODWARD AJIUZULU
MTENDAJI mkuu wa klabu ya Manchester United ya England, Ed Woodward amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuwa mmoja wa viongozi waliohusika kwen...
C.E.O AFUNGUKA ISHU YA TSHABALALA KWENDA YANGA
U ONGOZI wa Klabu ya Simba umekanusha uwezekano wa kuondoka kwa beki na nahodha wao, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ na kuweka wazi kuw...
RAIS JUVENTUS AACHIA NGAZI
Mwenyekiti wa klabu ya Juventus, Andrea Agnelli amethibitisha kuwa michuano mipya ya ‘European Super League’ haiwezi tena kufanyika kutokana...
NDUGAI AWAITA MAWAZIRI, WABUNGE BUNGENI KESHO MAMA AKIHUTUBIA
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka mawaziri, manaibu wao na wabunge wote wawepo bungeni kesho Alhamisi Aprili 22, 2021 wakat...
BIDEN “KUTIWA HATIANI KWA DEREK NI HATUA KUBWA KUPINGA UBAGUZI”
Maelfu ya Watu nchini Marekani, wanaendelea kushangilia hukumu ya kwanza, iliyomtia hatiani Polisi wa Kizungu kwa mauaji ya Mtu mweusi (Ge...
ASKARI DEREK AKUTWA NA HATIA KUMUUA GEORGE FLOYD
Aliyekuwa Afisa wa Polisi mjini Minneapolis Marekeni Derek Chauvin, amekutwa na hatia ya kumuua George Floyd. Mahakama imemtia hatiani bwana...
“TANESCO MKIZINGUA TUTAZINGUANA” RC MNDEME
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bi. Christina Mndeme ameitaka TANESCO mkoa huo kutokuwa chanzo cha kikwazo cha wananchi kupata maji safi na salama ...