Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, BAWACHA limekanusha madai ya kuwa chama chao kina mfumo dume, kwa kusema ...
MBUNGE KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE, AINGIA NA UNIFORM BUNGENI
Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ...
TBS YA BIDHAA KUKAGULIWA NA SHIRIKA HILO ILI ZIKUBALIKE KATIKA NCHI ZA NJE
Na Nicholaus Paul Lyankando - Geita Shirika la viwango Tanzania TBS Kanda ya Ziwa limewataka wauzaji na wakulima pamoja wajasiliamali mk...
KATIBU WA CCM WILAYA KAHAMA AMCHAMBU MWENYEKITI MPYA WA CCM TAIFA SAMIA SULUHU HASSAN
Na Faustine Gimu Galafoni kutoka Jijini Dodoma Katibu wa CCM Wilaya Kahama Emmanuel Lameck Mbamange amemwelezea mwenyekiti mpya wa CCM ta...
WANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUTAFUTA UFUMBUZI UJENZI WA DARAJA
Na Imani Anyigulile Wananchi wa kata ya galula wilayani Songwe mkoani Songwe wameiomba serikali kulitafutia ufumbuzi ujenzi wa daraja la G...
WATU 87 WANUSURIKA KIFO BAADA YA MELI YA MV MBEYA KUKWAMA KWENYE MCHANGA
Abiria 87 wakiwepo wafanyakazi 25 wa meli ya MV Mbeya II wamenusurika kifo baada ya meli hiyo kupigwa na mawimbi ikiwa safarini Ziwa Nyasa...
WAMWAGA CHAKULA MSIBANI, WADAI MAREHEMU HAKUWA AKIPEWA CHAKULA ALIPOKUWA HAI
Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) ...
JIDE: “NAHITAJI KIJANA WA ARUSHA ANAEVUTIA KAMA USHER RAYMOND”
Lady Jaydee anahitaji kijana mwenye muonekano kama wa msanii wa RnB kutoka nchini Marekani Usher Raymond ili awepo kwenye video ya wimbo wak...
CHIEF KALUMUNA WA CHADEMA NA WENZAKE WAACHIWA HURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imewaachia huru washtakiwa saba akiwemo aliyekuwa Ngombea wa Ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA Jimbo la Buk...
VIDEO: JAFO AAGIZA MUWEKEZAJI ALIETELEKEZA MAKONTENA BANDARINI AKAMATWE
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameagiza kukamatwa kwa, Kaissy Mkurugenzi wa Kampuni ya Se...
RAIS SAMIA ATUMBUA MABOSS WATATU
Kutoka Ikulu Chamwino Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi 3. Taarifa iliyotol...
POLISI YAKAMATA WATU 59 WAKIWA NA DAWA ZA KULEVYA
Watu 59 wamekamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ya jinai, ikiwemo kupatikana na dawa za kul...
“COVID-19 IMEONGEZA UZITO WA CHANGAMOTO KWA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI”
Katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Balozi wa Marekani, Donald Wright , amesema Siku ya Uhuru wa Vyombo vya...
WAZIRI MKUMBO AIPONGEZA TBS KWA KUHAKIKI UBORA, AZUNGUMZIA SAKATA LA MAFUTA
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof.Kitila Mkumbo amesema mpaka sasa upatikanaji wa mafuta ya kula ni mkubwa hivyo hakuna haja ya kupandisha ...
VIDEO: VIONGOZI CWT WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA
Watumishi wawili wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu wakikabiliwa na mashtaka ma...
NDOA YA BILL GATES YAVUNJIKA RASMI
Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates na Belinda iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho na sasa kila mmoja an...