Ace Magashule, katibu mkuu wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini, ameJIBU hatua ya kutimuliwa kwake chamani kwa kumsimamisha kazi R...
MAREKANI INAZINGATIA KUSAMBAZA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA UKIMWI ZILIZOKWAMA KENYA
Marekani inapania kupeleka dawa za kupunguza makali ya Ukimwi ambazo zimekwama katika bandari ya Kenya katika nchi zingine zinazohitaji, uba...
DKT. GWAJIMA: TUTASIMAMA NA WAKUNGA KUHAKIKISHA UZAZI UNAKUWA BARAKA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusima...
AMUUA MAMA YAKE KWA MAPANGA AKIMTUHUMU KUMROGA
Mkazi wa kijiji cha Guta Wilaya ya Bunda mkoani Mara Grace Chacha (67) amefariki dunia baada ya kukatwa mapanga na mwanaye wa kambo aitwaye ...
MAKADIRIO YA BAJETI WIZARA YA MAJI NI BIL. 680
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2021/22 jumla ya Shiling...
ESMA AMKATAA MAZIMA UCHEBE
Miongoni mwa habari zilizotikisa wiki hii ni pamoja na dada wa staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ Esma Khan kumkataa hadharani aliye...
HAJI MANARA ATAMBA KUCHEZA ZAIDI YA CARLINHOS
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa anaweza kucheza kama kiungo wa Yanga Carlohs Carlinho na akamzidi kutokana na uwezo wake. ...
PROF. JANABI: ULAJI FUTARI NYINGI UNACHOCHEA MSHTUKO WA MOYO
Katika mwezi huu wa Ramadhan familia nyingi nchini na duniani kwa jumla kuna nchi ambazo raia wake wanafunga saumu hii tukufu kama nguzo moj...
SERIKALI YAFUNGA KIWANDA CHA NONDO KUTOKANA NA VIFO VYA WAFANYAKAZI
Mkurugenzi wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka amekifunga Kiwanda cha Fujian Hexingwang kwa kukosa ...
"46% YA VISA VYA CORONA WIKI ILIYOPITA VILITOKEA INDIA" - WHO
Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini In...
SOLSKJAER AOMBA RADHI KWA MASHABIKI KWA NIABA YA MABOSS ZAKE
Kocha wa Manchester Utd Ole Gunnar Solskjaer amewasilisha salam za kuomba radhi kwa niaba wamiliki wa klabu hiyo Familia ya Glazer na ames...
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUOSHA VIPIMO VYA CORONA VILIVYOTUMIKA
Polisi nchini Indonesia imewakamata wafanyakazi wa Kampuni ya dawa ya Serikali Kimia Farma kwa madai ya kuosha vifaa vya kupimia puani ugo...
MJADALA WA WASANII VS BASATA KUAMULIWA JUMAMOSI MEI 8
Kuanzia May 1 2021 kumekuwepo na mjadala baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kuanza kutumia sheria ya kuzikagua nyimbo zote mpya za...