MBUNGE wa Viti Maalum Ester Amos Bulaya ameitaka Wizara ya Maji kuziba mianya ya upotevu wa maji ili kuokoa pesa za serikali zinapotea kati...
SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA BASI
KLABU ya Simba Queens leo Jumatatu Mei 10, imekabidhiwa basi jipya aina ya Costa kwa ajili ya safari za timu ndani na nje ya mkoa. Hafla...
WALIOACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS WAUAWA
Watu wawili ambao wametoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais Samia Suluhu wameuawa na Wanachi wenye hasira kali baada ya kukamatw...
TALIBAN WASITISHA VITA KUPISHA EID-AL-FITR
Kundi la Taliban nchini Afghanistan limetangaza siku tatu za kusitisha vita kote nchini humo kwa ajili ya kutowa nafasi ya sherehe za kumali...
JAMAA AUA WATU SITA KWENYE BIRTHDAY YA MPENZI WAKE, NAE AJIUA
Mwanaume mmoja mwenye silaha ajiuwa kwa risasi baada ya kuwapiga risasi na kuwaua watu sita katika sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa ya mpen...
KASHFA MPYA KWA FAMILIA YA GLAZER, PANYA KUONEKANA UWANJANI
Kitendo cha kuonekana kwa panya uwanjani Old Trafford imetajwa kua ni kashfa nyingine kwa wamiliki wa timu hiyo familia ya Glazer kwa kuka...
NISHA ATAMANI KUOLEWA NA DIMPOZ
Unaambiwa picha ya Ommy Dimpoz imemfanya msanii wa filamu Nisha Bebe kutamani kuolewa na msanii huyo wa muziki wa BongoFleva ambaye kwa sasa...
VIDEO: FISI AUA MTOTO WA MIAKA MITATU AKICHEZA
Kutoka Wilaya ya Magu Mwanza, mtoto Daud Mussa miaka 3, ameuawa kwa kuliwa na fisi wakati akicheza nje kidogo ya nyumbani kwao na muda huo...
OPERESHENI WAMI YAWAKUMBA 262 “TUMENASA PESA BANDIA, MAGARI”
Jeshi la Polisi nchini limefanya operesheni maalum ijulikanayo kwa jina ‘Operesheni Wami’ ikishirikisha Mikoa minne ya Tanga, Pwani, Morog...
“NATUMIA UBABE KUPATA SULUHU” DC SABAYA
“Lengai_ole_sabaya ni mtu anayechanyanga njia zote ili kupatika suluhu ya haki za wananchi ambaye anaweza kuwa Mbabe kama kuna ubabe, anawez...
“SIJAMDHARAU RC MGHWIRA” DC SABAYA
“Mkuu wa mkoa hajanituhumu mimi alisema tabia hizo na amesema na yeye ametia watu ndani na watu wa bwawa la Nyumba la Mungu wanaovua wakiche...
VIDEO: ISHU YA GAME YA SIMBA NA YANGA KUAHIRISHWA WAZIRI MKUU ASIMAMA BUNGENI, ATOA KAULI
"Kufuatia kero iliyojitokeza siku ya tarehe 8 mwezi huu iliyowakera wanamichezo hasa mpira wa miguu nchini baada ya kuahirishwa kwa mch...
HOFU YATANDA MAREKANI JUU YA SHAMBULIO LA KIMTANDAO LA BOMBA KUBWA LA MAFUTA
Serikali ya Marekani imepitisha sheria ya dharura siku ya Jumapili baada ya bomba kubwa la mafuta la nchini humo kushambuliwa kimtandao na g...
RAIS SAMIA AMKABISHI KIKWETE NYUMBA ALIYOJENGEWA NA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo (jana) amemkabidhi nyumba ya kuishi Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. J...
VIDEO: WAZIRI UMMY ATANGAZA NAFASI ZA AJIRA
Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu ametangaza ajira mpya kwa Walimu wa Shule za Msingi, Sekondari pamoja na Wizara ya Afya. Tazama kwa kubony...
VIDEO: KAULI YA RAIS SAMIA YAMUIBUA IGP SIRRO, AWAPA MWEZI MMOJA “ORODHA IPO”
Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan kuzungumzia kuibuka kwa matukio ya ujambazi na kuonya kw...
SABAYA AAGIZA MAITI ILIYOZUIWA MOCHWARI KISA MILIONI 3 KUZIKWA
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameagiza ndugu kuchukua mwili wa, Bauda Nkya (68) aliyefariki dunia siku saba zilizopita katika ho...
JESHI MYANMAR LATANGAZA WANAOPINGA UTAWALA WAKE NI MAGAIDI
Utawala wa kijeshi wa Myanmar umelitangaza kundi pinzani la Serikali ya Umoja wa Kitaifa kuwa kundi la kigaidi na kulishutumu kuhusika na ma...
SERIKALI YAPATA SULUHISHO CHANGAMOTO YA MALISHO “TUTAPUNGUZA KUAGIZA NJE”
Serikali kupitia Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) kwa kushirikiana na Taasisi ya kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) wamefani...
VIDEO: RAIS SAMIA AGUSWA NA WAZIRI ALIEMFUKUZA MWINYI KWENYE NYUMBA “TUPENDANE”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kitabu cha maisha ya Mzee Mwinyi, alichokizindua kinafundisha ...