Ikiwa tayari ni wiki moja imepita baada ya wanandoa matajiri zaidi duniani, Bill Gates na mkewe Melinda Gates kutangaza kupitia ukurasa ...
SANAMU YA FARU FAUSTA KUKAMILIKA SEPTEMBA
Naibu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Dk. Christopher Timbuka, amesema ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya...
MWALIMU ATUHUMIWA KUFANYA MAPENZ KITANDA KIMOJA NA WANAFUNZI WAWILI
Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Salum Kalii, ameagiza Mwalimu Martin Mambosasa, wa shule ya msingi Ilungu anayetuhumiwa kuwadhalili...
PALESTINE NA ISRAEL WASITISHA VITA KUPISHA SWALA YA EID
Baada ya kuelewana wasitishe vita ili kupisha sikukuu ya Eid ambayo imefanyika leo, waislam wa Palestina wameswali swala ya Eid katika viwan...
“MWILI WA MUGABE UFUKULIWE” MKEWE AITWA MAHAKAMANI KWA KUMZIKA KINYUME NA TARATIBU
Mahakama ya Kitamaduni nchini Zimbabwe yamtaka Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe kufika mahakamani hapo kwa tuhuma za kufany...
ALIYEKUWA BOSS MSD NA MWENZAKE AACHIWA HURU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Aliyekuwa Mkurugenzi wa L...
RAIS SAMIA AMSIMAMISHA KAZI DC SABAYA “APISHE UCHUNGUZI WA TUHUMA”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro , Lengai Ole S...